Pre GE2025 Lema: Uchaguzi wa Nyasa ulikuwa mbaya kuliko wa Tamisemi, Msigwa kaonewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tangu lini ukweli umekuwa uhuni?

Tafafhari mkuu, shika adabu yako
 
Kwahiyo akina Mtobi, boni, MΒ³, yule mhehe Nyerere ndio watasimama kuuza sera za CHADEMA kwa wananchi?

Yule mwingine Kigaila na Mrema hawajui hata kuongea kwenye majukwaa ila ndio wapo mbele kuwafanyia figisu akina Lema ili waondoke chamani.

Wacha inyeshe tuone panapovuja.
 
Si kapata faida zaidi kenda ccm?
Hayuko ccm kwa kupenda. Msigwa ni kama Dr. Slaa. Mbowe akishindwa uchaguzi, Msigwa atatupa kadi ya ccm na atadai hana chama ila anakuwa chadema kimya kimya
 
Mbowe ataipasua Chadema
 
Ayatollah kaguta nkurunzinza mbowe utazitapika pesa za abdul πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ayatollah kaguta nkurunzinza mbowe utazitapika pesa za abdul πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Alikuambia hivyo au ni utabiri wako au ni Ramli au Kuna watu alimwambia nao wakakuambia hivyo ?
 
Alikuambia hivyo au ni utabiri wako au ni Ramli au Kuna watu alimwambia nao wakakuambia hivyo ?
Mimi siyo mpiga kura, ila naona wazi
Mbowe aliwekeza kwa wapiga kura, atashinda saa mbili asubuhi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…