Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,411
- 2,700
Salamu wakuu!
Niende kwenye mada:nimekuwa nikiwafatilia wale wanaojiita viongozi wa CHADEMA kutoka Kanda mbali mbali ambao wamejitokeza kumshambulia direct makamu wa CHADEMA John Heche kwa tuhuma za kula pesa ya tone tone.
Wazungumzaji hao inaonesha hawana ushahidi wa madai ya kile wanachokisema, lkn wengi wao nimewasikia wakimtaja God bless Lema kama ndie alieibua shutuma za Heche kwenye kikao Cha kamati huko Kigoma.
Jamaa hao wanaenda mbali na kwa namna Fulani hivi wanashangaa kwa Nini Lema ambae wao wanadhani anaushahidi kamili kuhusu kuliwa kwa pesa za tone tone amewakacha na kukaa kimya( kumbuka idea ya tone tone ni ya Lema).
Ukitumia akili kidogo utaona ni kwa namna Gani watu hao wanapewa nguvu na ukimya wa Lema juu ya jambo hilo la kizushi.
Kama kweli Lema hauko nyuma ya huo ujinga Toka uwakane na uwakalipie maana sidhani kama huwasikii na wewe tunakujua ni mwepesi sana kujibu mambo mbali mbali yanayokuwa yanaleta mkanganyiko, kwanini kwa hili uko kimya?? Bila kumsahau SUGU mnawapa sana hao wahuni mwanya wa kukivuluga chama, ona sasa na wabaya wenu wahatia mguu ndani......!
Nimalizie kwa kumwambie Lema kama usipotoka kuwakanusha hao wanao kutaja taja basi madhara yoyote yatakayotokana na jambo hilo watanzania wapenda mabadiliko ya kweli tutakulilia wewe.
Toka ukanushe.