Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
KabisaWanasiasa siyo ndugu
KabisaWanasiasa siyo ndugu
Wewe sasa umenielewa vzr sana. Nilitamani niandike kwa urefu lkn mm ni mvivu wa kuandika.Nilitaka nianze kuandika kwa kukulaumu wewe kufufua mgogoro ambao sasa unajulikana ulikuwa ni mpango tu mahsusi wa kuwavuruga CHADEMA, hasa kumwondolea Makamu heshima kubwa ambayo amejijengea toka Mwenyekiti alipowekwa Gerezani.
Lakini kukaa kimya kwa Lema, hata baada ya kufahamika kwamba jambo hilo lilikuwa ni uzushi wa kichonganishi ndani ya chama; hali hiyo inatia dosari kubwa kwa upande wake.
Ilitakiwa/inatakiwa arudi huko huko kwenye chama na kujieleza, na kuomba radhi kurukia jambo ambalo lilikuwa bado linajifunua na kulipa nguvu isiyostahili.
Kama hajafanya hivyo, maana yake ni kwamba alinuia kutumia mwanya huo kumvuruga Makamu Mwenyekiti na kuingiza mgogoro ndani ya chama wakati ambapo Samia na Genge lake wanahitaji sana msaada kama huo.
Akiendelea kulikalia kimya jambo hilo, hata ndani ya chama, tafsiri yake ni kwamba Lema analo tatizo na Makamu Mwenyekiti na itaendela kuwa hivyo hata kama jambo hili halitajirudia tena kwa njia mbalimbali.
SUGU, nadhani analo lake. Hajawahi kuchangamka tokea baada ya uchaguzi; tofauti kabisa na akina Boniyai, ambao wameyaacha nyuma na kutazama mbele.
Njia Bora ya kumlinda ni kuunda tume huru ifanye uchunguzi huru na majibu yatoke hadharaniWewe sasa umenielewa vzr sana. Nilitamani niandike kwa urefu lkn mm ni mvivu wa kuandika.
Kwa sasa Chadema Iko sehemu nzuri sana wananchi wanaikubali na kuiunga mkono vibaya mnooo....! Wasiruhusu kabisa kuwapa CCM propaganda za kuwapa unafuu. Huu uzushi kama Chadema wasipoupa usurious utakipa chama msuko suko mkubwa sana. Maana inavyooneka serikali ya Samia imeshatenga fedha za kutosha kuhakikisha inamung'oa Heche kupitia hiyo project.
Kama Chadema wakishindwa kumlinda Heche basi nachokifikria kinaenda kutimia
Gentleman with nonsense mayhem,..u r soo foolish! Huyo rafiki yako akitaka kuchangia chama lazima akampe mwenyekiti..kwa nini asikupe wewe halafu uzipeleke kwa mwenyekiti..? yeye hamjui mwenyekiti na wewe ndie rafiki yake, anawezaje kumwamini mtu asiyemjua akaacha kukuamini wewe anayekujua..propaganda mufilisi za kitoto kabisa!
Matumaini ya Samia sasa hivi yapo kwenye hilo Baraza la CHADEMA, kupata mwanya wa kukivuruga chama; na hiki ndiyo kitakachokuwa kipimo muhimu cha kujuwa utayari wa CHADEMA kushika madaraka.Wewe sasa umenielewa vzr sana. Nilitamani niandike kwa urefu lkn mm ni mvivu wa kuandika.
Kwa sasa Chadema Iko sehemu nzuri sana wananchi wanaikubali na kuiunga mkono vibaya mnooo....! Wasiruhusu kabisa kuwapa CCM propaganda za kuwapa unafuu. Huu uzushi kama Chadema wasipoupa usurious utakipa chama msuko suko mkubwa sana. Maana inavyooneka serikali ya Samia imeshatenga fedha za kutosha kuhakikisha inamung'oa Heche kupitia hiyo project.
Kama Chadema wakishindwa kumlinda Heche basi nachokifikria kinaenda kutimia
Tofauti yangu na wewe ni huo mstari wa kwanza,...."hayo yalishaisha...".Jenga Chama wewe..hayo yalishaisha..Ukweli ni ule alioutoa Mnyika kwamba Pesa hazijaliwa.
Madam Brenda majuzi ametoa wito kwa Mwenye kujua zaidi na awape ushahidi na watachukua hatua.
Usitishike naye ..Lema ni Mwanachama tu kama sisi wengine na ndiyo utambulisho Mkuu wa Mwanachadema,vyeo ni mgawanyo tu wa kazi ili chama kisonge..Tofauti yangu na wewe ni huo mstari wa kwanza,...."hayo yalishaisha...".
Kama zilikuwa ni mbinu zilizotengenezwa nje, na Lema kazipokea na kuziingiza ndani ya chama; umejuwaje kuwa "hayo yalishaisha" Lema kakwambia hivyo; kasema popote hata huko ndani ya chama kwamba aliingia kwenye mtego wa wabaya wao, na anaomba yaishe?
Au anasubiri Baraza ili akiwashe zaidi?
Mimi ninakuelewa wewe kwa haya unayozungumza hapa; lakini sijui kama wewe ndiye Lema mwenyewe.Usitishike naye ..Lema ni Mwanachama tu kama sisi wengine na ndiyo utambulisho Mkuu wa Mwanachadema,vyeo ni mgawanyo tu wa kazi ili chama kisonge..
Amini kabisa CHADEMA hii inauhakika wa kusonga mbele bila Heche au Lema,na wengineo.
Kuibua tuhuma kisha zikathibitika siyo za kweli ni jambo la kujenga na halipaswi kuchukuliwa kama ni kosa na haipo mantiki ya kuanza kumzonga mtoa taarifa.Pengine ipo siku atakuja na tuhuma za ukweli na akakisaidia chama.
Yaliisha ilipothibitishwa na mmoja wa signatories kwamba zipo...Labda na wewe kama unajua hazimo au zimeoungua ..Fanya tu kama Lema,ibua tuhuma na wape ushahidi Wahusika waweze kufuatilia.Duru zinaarifu hata Lema mwenyewe alisema anasikika...
Wacha upotoshaji nonsense 🚮Halafu gentleman,
mimi nina muamini Mungu pekee na sio huo ushirikina unaoeleza 🐒
ok.🐒Wacha upotoshaji nonsense 🚮
Hakuna chawa anayeamini Mungu
..mwambie Lema na sugu hizo ndio gharama za recognition..ukilalamika kiwango cha ujinga kinakuwa juu zaidi, bora unyamaze liwe funzo kwako..Gentleman with nonsense mayhem,
lengo haikua ni kumpa mchango huo mwenyekiti. Kwakua mchango ulie ulikua ni wa kiwango kikubwa sana cha pesa, na lema na sugu walifanya kazi kubwa sana kuwaomba rafiki zao hao kuichangia chadema, waliona ni heshima kuwakutanisha wachangiaji hao na heche for recognitions. Na hivyo ndivyo wachangiaji wengi wa mamilioni ya pesa huichangia chadema.
Sasa kwamfano wewe unachangia buku tu nani akupeleke kwa heche kwa mfano? Wakati huna hata rafiki unaeweza kushawishi nae achangie buku?
Halafu gentleman,
mimi nina muamini Mungu pekee na sio huo ushirikina unaoeleza 🐒
ok.🐒..mwambie Lema na sugu hizo ndio gharama za recognition..ukilalamika kiwango cha ujinga kinakuwa juu zaidi, bora unyamaze liwe funzo kwako..