Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,411
- 2,700
Gentleman,Salamu wakuu!
Niende kwenye mada:nimekuwa nikiwafatilia wale wanaojiita viongozi wa Chadema kutoka Kanda mbali mbali ambao wamejitokeza kumshambulia direct makamu wa Chadema John Heche kwa tuhuma za kula pesa ya tone tone.
Wazungumzaji hao inaonesha hawana ushahidi wa madai ya kile wanachokisema, lkn wengi wao nimewasikia wakimtaja God bless Lema kama ndie alieibua shutuma za Heche kwenye kikao Cha kamati huko Kigoma.
Jamaa hao wanaenda mbali na kwa namna Fulani hivi wanashangaa kwa Nini Lema ambae wao wanadhani anaushahidi kamili kuhusu kuliwa kwa pesa za tone tone amewakacha na kukaa kimya( kumbuka idea ya tone tone ni ya Lema)
Ukitumia akili kidogo utaona ni kwa namna Gani watu hao wanapewa nguvu na ukimya wa Lema juu ya jambo hilo la kizushi.
Kama kweli Lema hauko nyuma ya huo ujinga Toka uwakane na uwakalipie maana sidhani kama huwasikii na wewe tunakujua ni mwepesi sana kujibu mambo mbali mbali yanayokuwa yanaleta mkanganyiko, kwa Nini kwa hili uko kimya?? Bila kumsahau SUGU mnawapa sana hao wahuni mwanya wa kukivuluga chama, ona sasa na wabaya wenu wahatia mguu ndani......!
Nimalizie kwa kumwambie Lema kama usipotoka kuwakanusha hao wanao kutaja taja basi madhara yoyote yatakayotokana na jambo hilo watanzania wapenda mabadiliko ya kweli tutakulilia wewe.
Toka ukanushe.
Politicians siyo binadamu wa kawaida. Ukute hata Lissu ana kadi ya CCM na analalaga hotelini sisi tunajua yupo Ukonga Mwaka mzima😅Mnaowaamini politicians mna kazi sana. Mnastahili pole wakuu
Nilitaka nianze kuandika kwa kukulaumu wewe kufufua mgogoro ambao sasa unajulikana ulikuwa ni mpango tu mahsusi wa kuwavuruga CHADEMA, hasa kumwondolea Makamu heshima kubwa ambayo amejijengea toka Mwenyekiti alipowekwa Gerezani.Toka ukanushe.
Ukiwa umefunika akili, ni lazima uone hivyo kama unavyoona wewe.Lema akijaribu kukomaa atabaki na kilio.
Chama kimekosa uhuru wa kuhoji na kukosoana.
Mnaicheka Ccm?
Chadema ukiuliza tu habari ya michango utaambiwq umetumwa na Ccm
Bila shaka hawa ni akina 'Abdul Hafidh' au siyo?Changamoto ni kua,
badala ya heche kuwapatia akaunti ya chadema,aliwapatia akaunti yake binafsi na kuwahakikishia atazifikisha pesa hizo kwenye chama. Na wale wachangiaji ambao ni marafiki wa lema na sugu, waliwajulisha lema na sugu kua wameshawasilisha michango yao kwa chadema kupitia heche.
JIZI NA LIPENDA RUSHWA NALO LINACHANGIA.Gentleman,
ni Lema na Sugu ndio waliowapeleka marafiki zao kwa heche ili kupitia yeye heche waweze kuichangia chadema na pesa wakatoa.
Changamoto ni kua,
badala ya heche kuwapatia akaunti ya chadema,aliwapatia akaunti yake binafsi na kuwahakikishia atazifikisha pesa hizo kwenye chama. Na wale wachangiaji ambao ni marafiki wa lema na sugu, waliwajulisha lema na sugu kua wameshawasilisha michango yao kwa chadema kupitia heche.
Kwakua lema na sugu wanajua ni kiasi gani heche kapewa, walishangazwa kwenye kikao cha kamati kuu ya chadema taifa kule Kigoma, kwamba kwenye mapato ya michango ya wanachama na wafaddhili mbalimbali, mamilioni aliyopewa heche hayakuwasilisha chamani.
Walipohoji sasa,
ndio picha la kihindi likaanzia hapo sasa mpaka hapa tulipofikia sasa.
Kwenye mkutano mkuu wa Baraza kuu la chadema taifa lazima zipigwe ngumi za maana sana mkutanoni 🐒
Unaweza kuona anakupambania kumbe anacheza na hesabu ili aje apate kikubwa..Politicians siyo binadamu wa kawaida. Ukute hata Lissu ana kadi ya CCM na analalaga hotelini sisi tunajua yupo Ukonga Mwaka mzima😅
Wanasiasa siyo nduguUnaweza kuona anakupambania kumbe anacheza na hesabu ili aje apate kikubwa..
Hampendi independent minds lakini mnataka democracyHahahahahahaaa
Sema tu kuwa lema na sugu ni mradi wa ccm.. Unahofu nini?
Tunawajua kwamba kila mwenye mawazo tofauti ndani ya ccm ni alama ya ukombozi (kwa mjibu wa akili zenu za nyumbu), lakini mwenye mawazo tofauti ndani ya chadema ni mradi wa ccm
-hawa ndo nyumbu ninaowajua
Watu hawajaelewa tu, kirusi hatari ndani ya Chadema ni Lema.Nimalizie kwa kumwambie Lema kama usipotoka kuwakanusha hao wanao kutaja taja basi madhara yoyote yatakayotokana na jambo hilo watanzania wapenda mabadiliko ya kweli tutakulilia wewe.
..u r soo foolish! Huyo rafiki yako akitaka kuchangia chama lazima akampe mwenyekiti..kwa nini asikupe wewe halafu uzipeleke kwa mwenyekiti..? yeye hamjui mwenyekiti na wewe ndie rafiki yake, anawezaje kumwamini mtu asiyemjua akaacha kukuamini wewe anayekujua..propaganda mufilisi za kitoto kabisa!Gentleman,
ni Lema na Sugu ndio waliowapeleka marafiki zao kwa heche ili kupitia yeye heche waweze kuichangia chadema na pesa wakatoa.
Changamoto ni kua,
badala ya heche kuwapatia akaunti ya chadema,aliwapatia akaunti yake binafsi na kuwahakikishia atazifikisha pesa hizo kwenye chama. Na wale wachangiaji ambao ni marafiki wa lema na sugu, waliwajulisha lema na sugu kua wameshawasilisha michango yao kwa chadema kupitia heche.
Kwakua lema na sugu wanajua ni kiasi gani heche kapewa, walishangazwa kwenye kikao cha kamati kuu ya chadema taifa kule Kigoma, kwamba kwenye mapato ya michango ya wanachama na wafaddhili mbalimbali, mamilioni aliyopewa heche hayakuwasilisha chamani.
Walipohoji sasa,
ndio picha la kihindi likaanzia hapo sasa mpaka hapa tulipofikia sasa.
Kwenye mkutano mkuu wa Baraza kuu la chadema taifa lazima zipigwe ngumi za maana sana mkutanoni 🐒
Damu ya jamaa bado inalia kulipa kisasa. Dah, ulimuua akiwa bado mdogo kweli.Lema akijaribu kukomaa atabaki na kilio.
Chama kimekosa uhuru wa kuhoji na kukosoana.
Mnaicheka Ccm?
Chadema ukiuliza tu habari ya michango utaambiwq umetumwa na Ccm
Wewe ***** tulia usidandie nambo ya wanaume nguruwe wa kizimkazi weweGentleman,