kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Hahaha [emoji1787][emoji23] waziri wa fedha ni Lema? Lema huyu huyu ambaye hata kuandika vizuri hawezi. Sasa wapo ulaya kwa wakubwa na wenye pesa, lakini bado wanaomba 'mbavu za mbwa' huku Tanzania michango. Anyway makamanda tuchangeni basi.Nilipita DAMBWE moja kabla ya uchaguzi wa 2020 nikawakuta vijana wenzangu wanapanga listi ya serikali MPYA [emoji1787][emoji1787]
Niliishia kuwasha sigareti nikacheka na kusepa....
LISTI ILE......
1)Rais Tundu Lissu...[emoji1787]
2)Makamu Rais.....Salum Mwalimu [emoji1787]
3)Waziri Mkuu......mh.Mbowe[emoji1787]
4)Waziri wa Fedha....God bless Lema ha ha ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naishia hapa kwanza....
Chadema wanachekesha sanaKama mageuzi yataletwa na watanzania wenyewe, lengo la kuzunguka duniani ni lipi sasa? Nasikia bawacha wamemshtaki Samia kwa balozi wa marekani.
Duh!
Ha ha ha 🤣🤣Hahaha [emoji1787][emoji23] waziri wa fedha ni Lema? Lema huyu huyu ambaye hata kuandika vizuri hawezi. Sasa wapo ulaya kwa wakubwa na wenye pesa, lakini bado wanaomba 'mbavu za mbwa' huku Tanzania michango. Anyway makamanda tuchangeni basi.
I feel foe my brother lemaWanaukumbi.
Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania.
Chadema wanatakiwa waitishe uchaguzi wa ndani wawape chama damu changa, wenye mbinu na mitazamo mipya
Chadema ya leo inwategemea wanaharakati ujanja ujanja kazi kudandia matukio.
View attachment 1873410
ni huo kulingana na mada husika, so sijaenda nje ya mada. Maana CDM ikifa ni furaha kwa wengineAcha porojo, changia!
Wanaukumbi.
Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania.
Chadema wanatakiwa waitishe uchaguzi wa ndani wawape chama damu changa, wenye mbinu na mitazamo mipya
Chadema ya leo inwategemea wanaharakati ujanja ujanja kazi kudandia matukio.
View attachment 1873410
Mbona CCM inaingia kwenye chaguzi ikiwa inamiliki tume na bado inategemea backup ya police?
Hehe alifakiri Ulaya/Marekani mkyeso, huko hakuna bia za bure ,sijui atumuibia nani gari halafu aliuze na sijui nani atamuuzia kwa maana hakuna mwenye shida ya magari.Wanaukumbi.
Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania.
Chadema wanatakiwa waitishe uchaguzi wa ndani wawape chama damu changa, wenye mbinu na mitazamo mipya
Chadema ya leo inwategemea wanaharakati ujanja ujanja kazi kudandia matukio.
View attachment 1873410
Sasa tukiwekewa vikwazo tutapata wapi hela ya kuwachangia hawa wakimbizi hewa, endeleeni tu kupigwa baridi.Wasivyo na akili. Hao viongozi. Yaani wanataka hela ili nnchi iwekewe vikwazo.
Kwa hiyo na wanachadema watapelekwa huko ughaibuni wale watakaochangia. Au dawa itawaingia na wanachama wao.?