kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Hahaha [emoji1787][emoji23] waziri wa fedha ni Lema? Lema huyu huyu ambaye hata kuandika vizuri hawezi. Sasa wapo ulaya kwa wakubwa na wenye pesa, lakini bado wanaomba 'mbavu za mbwa' huku Tanzania michango. Anyway makamanda tuchangeni basi.Nilipita DAMBWE moja kabla ya uchaguzi wa 2020 nikawakuta vijana wenzangu wanapanga listi ya serikali MPYA [emoji1787][emoji1787]
Niliishia kuwasha sigareti nikacheka na kusepa....
LISTI ILE......
1)Rais Tundu Lissu...[emoji1787]
2)Makamu Rais.....Salum Mwalimu [emoji1787]
3)Waziri Mkuu......mh.Mbowe[emoji1787]
4)Waziri wa Fedha....God bless Lema ha ha ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naishia hapa kwanza....