johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mambo ya matumbo yao huoni nao wanaogopa kuja uraiani? Mtu umezoea maburungutu ya hela za dezo hujasoma haufanyi biashara ghafla zinakata si ndo mambo kuharibikaMbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi.
Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi mwisho kama Daniel na wenzake.
Lema alikuwa akichangia ripoti ya kamati kuhusu Utawala bora.
My take; Ni mambo gani hayo yatakayovurugika?
Maendeleo hayana vyama!
My take; Ni mambo gani hayo yatakayovurugika?
Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli mkuu, MwanaCCM anatishia maisha ya watu viongozi wanabadilisha maneno kwamba alimaanisha kitu kingine. Kina Mbowe wako mahakamani kwa kusema "Patachimbika". Sijui ni sehemu gani inaweza kuchimbwa isichimbike.? Kuna watu wamehamasisha vijana wa CCM kuwadhuru wanasiasa wa upinzani popote watakapowaona iwe Sokoni, hotelini au kwenye ndege. Lakini huyo aliyetamka hivyo hata kuhojiwa na Polisi hajahojiwa wala kuulizwa tu kwa nini amefikia kutishia watu maisha? Hii nchi mmiliki ni mwanaCCM, awe mkubwa awe mdogo, ndo maana MWENYENCHI mmoja anawaambia wenzake " wapinzani tunawadekeza sana, tungehakikisha kwanza hawaendi sokoni, hotelini wala kusafiri kwa ndege! Kwa ujumla amewafukuza nchini wapinzani kama wanataka kuishi, vinginevyo wakiendelea kukaa nchini wajiandae kufa.Waswahili walisema, usipomfunza mwanao ,atafunzwa na dunia, wacha kina Pompeo,WB watupe somo.CCM wanamchekea nyani kwa hofu na madhaifu yao , tutavuna mabua pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
yeye tu ndiyo anamawazo ya kuwa kunasiku mambo yatavurugika hakuna ila wakipewa nchi hawa wapuuzi ndiyo watatufikisha huko anakofikiria kila sikuMbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi.
Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi mwisho kama Daniel na wenzake.
Lema alikuwa akichangia ripoti ya kamati kuhusu Utawala bora.
My take; Ni mambo gani hayo yatakayovurugika?
Maendeleo hayana vyama!
Uwezo wetu watanzania kwenye kufikiri ni mdogo sana. Hela za Bure wakati kazi yao ni kusema bungeni? Ulitaka pale bungeni wawe wanabeba zege ama walime matuta ya viazi vitamu wauze ndiyo uone hela wanazolipwa wanazitolea jasho?Mambo ya matumbo yao huoni nao wanaogopa kuja uraiani? Mtu umezoea maburungutu ya hela za dezo hujasoma haufanyi biashara ghafla zinakata si ndo mambo kuharibika
Kwa kauli kama hizi unafikiri hawa vitoto wa Lumumba wakijaribu upuuzi wao wanaohubiri wanaume watawachekea?Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi.
Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi mwisho kama Daniel na wenzake.
Lema alikuwa akichangia ripoti ya kamati kuhusu Utawala bora.
My take; Ni mambo gani hayo yatakayovurugika?
Maendeleo hayana vyama!
Tuliza mshono bado hujapona vizuriKwa hiyo bwana Lema, ukishinda democrasia ipo ,ila ukishindwa hakuna democrasia?
.nakusihi tu uachane na huo unyumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bwana Lema, ukishinda democrasia ipo ,ila ukishindwa hakuna democrasia?
.nakusihi tu uachane na huo unyumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati huo uvccm tayari mmeakubaliana kumuua ZittoHatutafika huko kila jambo litamalizwa mezani kitambo
punguza jazba za kike.Kila siku vitisho,huyu ni mpumbavu kama wapumbavu wengine tu,hana jipya ,jimbo la Arusha mjini linarudi ccm na anajua hivyo,aache kutapatapa
Sent using Jamii Forums mobile app