Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
LEMA NAYE NI MPUUZI TU YEYE ALIWASILIANAJE NA MKE WA KALEMANI AKAMWAMBIA HAYO? AJE ALIPE MADENI YAKE HUKU ASIFIKIRI KUYAKIMBIA NDIYO UJANJA MWIZI TU HUYO
 
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
Axis of Evil..... Awamu ya tano huko mbeleni inaweza kutolewa kwenye historia ya nchi kama walivyofanya Italy kumtoa Mussolini kwenye cariculum ya history ngazi zote za elimu.
 
Nani amesema kifo cha mwendazake ndio kifo cha kila mtu?

kuporwa miaka yake iliosalia kutawala na Mwenyezi Mungu sio Adhabu tuu ni Adhabu kubwa sana kuliko hata alivyostahili.

Ahhhhh. Mungu amekuwa wewe. Unachekeshs sana. Watu kama wewe Ni waovu sana. Mbona Mungu anakuangali tu. .
 
Back
Top Bottom