chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi.
Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondoka na fedha kiasi gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo mengine, ikiwamo siri za chama pamoja na nyaraka za viwanja na nyumba?
Je hii sio chuki kubwa kwa uongozi mpya? Halafu anajifanya mtu wa kumjua Mungu sana!