Kwani katoa tangazo la kutorudi?Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi.
Lakini hajakabidhi ofisi kqa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondola na fedha kissing gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo mengine, ikiwamo siri za chama?
Je hii sio chuki kubwa kwa uongozi mpya? Half anajifanya mtu wa kumjua Mungu sana!
Wenzake wanarudi nyumbani kuhesabiwa Yeye anatoroka asihesabiwe....!!!Je hii sio chuki kubwa kwa uongozi mpya? Half anajifanya mtu wa kumjua Mungu sana!
Wakati mwingine sema huko Chadema hakuna mwenye akili.Utapeli tu. Ni huyu Lema na wenzake waliilazimisha CHADEMA kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ila ilipofika siku ya kupiga kura akazira, akadai hata hangaika kwenye vituo, CCM ifanye inavyotaka..
aliewahi kua mnyang'anyi wa malori ana shida sana aise 🐒Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi.
Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondoka na fedha kiasi gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo mengine, ikiwamo siri za chama pamoja na nyaraka za viwanja na nyumba?
Je hii sio chuki kubwa kwa uongozi mpya? Halafu anajifanya mtu wa kumjua Mungu sana!
Kwani alipopitq airport alihudumiwa na wana nyumbu c tumemuona sote lengo akabidhi ofisi mwana kondoo aliepotea hahaaa anarudisha taarifa kwa bwana zakeMbona mapya mengi yanaibuka kwani hakuna pa kuyasemea haya mpaka huku. Maana tunawapa faida upande wapili tunajiweka uchi sana. Mara hili mara lile mnazidi kutuchanganya. Inamaana ndani ya chama kunamajizi mnayajuwa halafu mnayakumbatia. Kunashida kubwa. Wenzetu wanawatumbuwa hawa sisi tunapiga kelele tu mpaka lini.
Hili ni bata la ccm, wewe utakuwa ni mgeni humuMbona mapya mengi yanaibuka kwani hakuna pa kuyasemea haya mpaka huku. Maana tunawapa faida upande wapili tunajiweka uchi sana. Mara hili mara lile mnazidi kutuchanganya. Inamaana ndani ya chama kunamajizi mnayajuwa halafu mnayakumbatia. Kunashida kubwa. Wenzetu wanawatumbuwa hawa sisi tunapiga kelele tu mpaka lini.
Kuna kukabidhiana onlineIlitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi.
Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondoka na fedha kiasi gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo mengine, ikiwamo siri za chama pamoja na nyaraka za viwanja na nyumba?
Je hii sio chuki kubwa kwa uongozi mpya? Halafu anajifanya mtu wa kumjua Mungu sana!
Lema yupo 🍁 huku chama kikijiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Dah tunapigwa walahiIlitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi.