Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
Nimesoma comments zote za Willium nikagundua jamaa anashida kichwan yaan kuna fuse zimekatika kwa ndonga yake
 
Ukwasi??
Le mutuz??
Umebugi aisee
 
mzee hukui??
 
Le mbebezzsuperbrand
 
Sasa le mutuz mwenyewe kashajiibia kila alichokuwa nacho ndo mnamuona hapo kkoo badala ya NYC USA.
Mobetto ataambulia lift tu kwenye Noah na kupigwa madenda na kiboko sikia tu mtandaoni
 
- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?

le Mutuz
Dah so sad ilikuaje hii jebu nambie mkuu
 
- Sawa ila ninasema cha msingi ni kulekezea hayo matusi kwa muhusika yaani Mange ambaye baba yake marehemu ndiye aliyefanyiwa na mashahidi wapo, au nakosea?

le Mutuz
mkuu mbona mange na wewe picha haziend mda wote kinanuka nini hasa sababu kwa nini msikae mkaongea yakaisha nini sababu
 
Sasa ww ata akikupa utafanya nini au ndio uziburiwe [emoji90] [emoji90]

LE SUPER VIDOLEZ[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hivi LeMutuzi bado yuko hai..ila kwenye watu waliojaa ujinga wa kuzaliwa nazani hili dubwasha linaongoza..mwili mkibwa akili kijiko..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…