Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
Vizuri mwenyewe amesha mjibu
 
Lemutuz ni mtu wa kawaida na kama hamisa anatoka na watu kama hao basi ni cheap mno
 
WEWE KUBWA JINGA UWE NA ADABU KAMA MTOA POST ALIVYOKUSHAURI
 


le mutuz jitu kubwa safi sana... Mwenyekiti wa social media duniani..
 
Hivi MSAGA SUMU kwanini huwa unapenda kufanya hivi
like a mastermind kweli lemutuz hajawahi kuwa na akili
 
Ivi unazani MSAGA SUMU yupo siriazi kama unavyofikiria... Na wala Akuna atakaechukulia ihii taarifa kwa umakini. Hivi na WW unaamini unaweza kummiliki hamisa wakati nasra asiejulikana hata na mjumbe wa nyumba kumi umemshidwa
we jamaa umeshinda Tabia in my girl friend voice
 
Dahhh! Hivi huyu mzee ndiye yupo anachekacheka ovyo humu kwenye huu uzi!??
 
Ww jamaa sura imejkunja sana inaoneka ww ibabu kabisa kwann ustulie na familia au unapepo la ngono?
 
watu mkiambiwa age doesnt define maturity mnabisha
mtu mzma ana akili za kitoto
 
Aisee hizo comments za humu ndani ni hatari.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…