Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
Lemutuz ni mtu wa kawaida na kama hamisa anatoka na watu kama hao basi ni cheap mno
 
Uncle naona kama haupo fair vile why watu wakikutukana we unang'ang'ana na baba ake Mange tu? Kwamba tuseme umeshindwa matusi ya kumtukana Mange mwenyewe ? Mbona hakutukanii baba ako au mama ? Sina undugu nae ila huwa najisikia vibaya tu marehemu kutukanwa .

Am sorry kama nimekuuzi
WEWE KUBWA JINGA UWE NA ADABU KAMA MTOA POST ALIVYOKUSHAURI
 
- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!

le Mutuz


le mutuz jitu kubwa safi sana... Mwenyekiti wa social media duniani..
 
Hivi MSAGA SUMU kwanini huwa unapenda kufanya hivi
like a mastermind kweli lemutuz hajawahi kuwa na akili
 
Ivi unazani MSAGA SUMU yupo siriazi kama unavyofikiria... Na wala Akuna atakaechukulia ihii taarifa kwa umakini. Hivi na WW unaamini unaweza kummiliki hamisa wakati nasra asiejulikana hata na mjumbe wa nyumba kumi umemshidwa
we jamaa umeshinda Tabia in my girl friend voice
 
View attachment 607034

Hii ndio kazi unayoweza hahahahahahah kweli wewe ni le mup........zzzz kupiga picha kwenye gari za wanaume
wenzako hahahahaha

Pitty

Uje na Kinoah chako upite Hapa Bamaga Nikupatie hata lita 5 za mafuta hahahahahahahahaha
Dahhh! Hivi huyu mzee ndiye yupo anachekacheka ovyo humu kwenye huu uzi!??
 
Ww jamaa sura imejkunja sana inaoneka ww ibabu kabisa kwann ustulie na familia au unapepo la ngono?
 
watu mkiambiwa age doesnt define maturity mnabisha
mtu mzma ana akili za kitoto
 
Aisee hizo comments za humu ndani ni hatari.
 
Capture.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom