Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
mkuu,
ina maana familia ya ex wako bado tu wanahangaika na wewe? mbona kama ni miaka mingi sana unaongelea 'ex'? Basi itakuwa ulikuwa mume mwema mno aisee.

Hongera sana kwa kufungua tv na kuongeza ajira.
Matunda ya ccm mpya.

 
Ki Tv kimebuma, hakina mvuto hovyo kabisa...umejaribu kukipigia promo lakini wala hakuna anayekielewa!
Hayo ya online waachie akina global.

Soon utauza mpaka extension za umeme!

- hahahahaha umeona sponsors lakini hahahahaha yaani mpaka naogopa walivyo wengi nafasi haitoshi hahahahaha

le Mutuz
 
Never, hatokaa ajibu swali la namna hii!
Zaidi atakuchekea tu....
 
mkuu,
ina maana familia ya ex wako bado tu wanahangaika na wewe? mbona kama ni miaka mingi sana unaongelea 'ex'? Basi itakuwa ulikuwa mume mwema mno aisee.

Hongera sana kwa kufungua tv na kuongeza ajira.
Matunda ya ccm mpya.
achana nae fix tupu mke wake anatoka na jamaa mmoja mkurya mzuri balaa tena ana cheo kikubwa huko aljazeera
- hahahahaha umeona sponsors lakini hahahahaha yaani mpaka naogopa walivyo wengi nafasi haitoshi hahahahaha

le Mutuz
 
Povu la nini mdogo wangu, yaani unatembelea gari la mil 10 halafu kimada umnunulie gari la mil 20 inawezekana hiyo?
kwanza umepewa ruhussa ya kutumia hiyo avatar,natania tu mkuu
 
- hahahahaha umeona sponsors lakini hahahahaha yaani mpaka naogopa walivyo wengi nafasi haitoshi hahahahaha

le Mutuz


Hii ndio kazi unayoweza hahahahahahah kweli wewe ni le mup........zzzz kupiga picha kwenye gari za wanaume
wenzako hahahahaha

Pitty

Uje na Kinoah chako upite Hapa Bamaga Nikupatie hata lita 5 za mafuta hahahahahahahahaha
 
Nimeona TV yako ina subscribers 424 sijui una gundu gani, au kwavile una urafiki na Bashite? Na je hao vijana unawalipaje ndugu yangu, hao wadhamini ni wajinga kiasi gani wakulipe kwa subscribers 424 na views 1k-5k kwa video wakati wenzako kina Ayo wanagonga hadi 1M? Ila hongera kwa kufungua ofisi[emoji1] [emoji1]
 
- hahahahaha kumbe unapandwa na kushikishwa ukuta? hahahahaha mwanaume mzima mpaka unajisema? Duh hahahaha

le Mutuz
Kucheka cheka huko ni nini maana yake?
Ukiona mwanaume anamchekea chekea mwanaume mwenzake ujue anapandwa na kupigwa madolee...
Yaani wewe kazi yako kucheka cheka tu, bila shaka unawashwa unatafuta wa kukupanda upate hela ya kuweka mafuta kwenye hicho kivox mkweche chako...
Okey kila lakher...
 
- kama kutoa ajira kwa vijana ni matatizo ya umri sure nakubali thank you!

le Mutuz
ajira nane unapiga kelele mitandaoni

watu wana Bar zina mabaamedi 20 na hawapigi kelele na sio issue

watu wana car wash zinaajira 30 40 wako kimya na ni simple tu eti Ajira 8
 
Le mutuz online ipo poa Sana!!!!

Tu subscribe ili kumpa uwezo wa kuajiri vijana wengi zaidi.

Hongera braza ukiichoka hiyo Noah niuzie nadhani na Mimi ntakuwa maarufu ndani ya le super Noah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…