lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Mkuu, hivi unapokutana na RC huwa anakusalimia au anakuchukulia kijana mwenzie?- kumbe wewe ndio ulitakiwa kutulia cause hujajibiwa wewe au? hahahahahaha
le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hivi unapokutana na RC huwa anakusalimia au anakuchukulia kijana mwenzie?- kumbe wewe ndio ulitakiwa kutulia cause hujajibiwa wewe au? hahahahahaha
le Mutuz
- Sijakuelewa kila wakati unapenda sana kunizushia uongo na majungu vipi wewe ni kaka wa my ex nini maana hao ndio wanahangaika kila siku kunitungia uongo uongo, WHY?
- Mbona kuna mambo mengi ya maana kwa jamii nayafanya huyasemi? Like now nimeshafungua my Online TV nimetoa ajira kwa vijana 8 toka mtaani, mbona usiandike mambo ya msingi kama haya?
le Mutuz
Nasikia huya anakupiga m**dolzz ili dushe liamke!
Na vipi kupandwa, umeacha kushikishwa ukuta?
Nimeelewa mkuu, kumbe hii pia ni ID yakewazee wakiki wana ID kibao wanaanzika wenyewe mada na kujijibu wenyewe
usishangae mtu kua na ID kumi
Ki Tv kimebuma, hakina mvuto hovyo kabisa...umejaribu kukipigia promo lakini wala hakuna anayekielewa!
Hayo ya online waachie akina global.
Soon utauza mpaka extension za umeme!
Never, hatokaa ajibu swali la namna hii!Samahani.
Najua wewe ni verify member humu JF.
Sasa unaweza kusema umri wako kwa sasa?
Maana watu wengi humu JF wanasema una umri mkubwa(50+years) lakini Akili na Tabia zako ni kama kijana wa kitanzania wa mjini anaye balehe.
Sasa ili tusikuhukumu vibaya, ni vyema ukaverify na umri wako ili kuondoa utata.
achana nae fix tupu mke wake anatoka na jamaa mmoja mkurya mzuri balaa tena ana cheo kikubwa huko aljazeeramkuu,
ina maana familia ya ex wako bado tu wanahangaika na wewe? mbona kama ni miaka mingi sana unaongelea 'ex'? Basi itakuwa ulikuwa mume mwema mno aisee.
Hongera sana kwa kufungua tv na kuongeza ajira.
Matunda ya ccm mpya.
- hahahahaha umeona sponsors lakini hahahahaha yaani mpaka naogopa walivyo wengi nafasi haitoshi hahahahaha
le Mutuz
Zarau sasaahonge RV4 wakati mwenyewe anatembelea Noah
kwanza umepewa ruhussa ya kutumia hiyo avatar,natania tu mkuuPovu la nini mdogo wangu, yaani unatembelea gari la mil 10 halafu kimada umnunulie gari la mil 20 inawezekana hiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani hapo Mobeto ndo awe makini na le mutuz coz kama anategemea RV4 asahau, huyo le mutuz mwenyewe ni mdananda mjini hapa
lakini gwiji kuwa makini Hamisa rangi ya mtume- hahahahah mimi siajiriwi ninajiajiri so hatupo sawa hahahahahaha pole sana
le Mutuz
naunga mkono hojakwanini W. J. Malecela asifanyiwe interview na DJ Sepetu
kuna mambo mengi tungependa kuyajua kwa huyu kubwa jinga
- hahahahaha umeona sponsors lakini hahahahaha yaani mpaka naogopa walivyo wengi nafasi haitoshi hahahahaha
le Mutuz
Haaahaaaa, anatembelea kitimotoahonge RV4 wakati mwenyewe anatembelea Noah
Nimeona TV yako ina subscribers 424 sijui una gundu gani, au kwavile una urafiki na Bashite? Na je hao vijana unawalipaje ndugu yangu, hao wadhamini ni wajinga kiasi gani wakulipe kwa subscribers 424 na views 1k-5k kwa video wakati wenzako kina Ayo wanagonga hadi 1M? Ila hongera kwa kufungua ofisi[emoji1] [emoji1]- Sijakuelewa kila wakati unapenda sana kunizushia uongo na majungu vipi wewe ni kaka wa my ex nini maana hao ndio wanahangaika kila siku kunitungia uongo uongo, WHY?
- Mbona kuna mambo mengi ya maana kwa jamii nayafanya huyasemi? Like now nimeshafungua my Online TV nimetoa ajira kwa vijana 8 toka mtaani, mbona usiandike mambo ya msingi kama haya?
le Mutuz
Kucheka cheka huko ni nini maana yake?- hahahahaha kumbe unapandwa na kushikishwa ukuta? hahahahaha mwanaume mzima mpaka unajisema? Duh hahahaha
le Mutuz
View attachment 607034
Hii ndio kazi unayoweza hahahahahahah kweli wewe ni le mup........zzzz kupiga picha kwenye gari za wanaume
wenzako hahahahaha
Pitty
Uje na Kinoah chako upite Hapa Bamaga Nikupatie hata lita 5 za mafuta hahahahahahahahaha
ajira nane unapiga kelele mitandaoni- kama kutoa ajira kwa vijana ni matatizo ya umri sure nakubali thank you!
le Mutuz