Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Status
Not open for further replies.
Pole mkuu uwe unapumzika.. Usifanye kazi ukapitiliza
 
Yaani ulishasahau kazi nilokutuma?

Nilikutuma jumba tukufu, kwa malikia lizzy! Mbona unakuwa mzembe hivi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui nimtume lemutuz[emoji23] [emoji23]
Ooh dear oh dear
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Usimtume huyo anakazi nyingi mpaka zimemzidi
Tutabalishe ile Motto ya hapa kazi tu itakuwa KAZI NA DRIP na A/C
Sasa naandika kwenye kitabu changu mambo ya kufanya yaani naona aibu kusema nilikuwa na kazi sana usije ukasema namuiga le-muuuu you know
 
Wapenda sifa banaa eti nmetoka five star hotel mamayo utakufa
 
Ila mzee baba huyo kiukweli anapenda sana AC..kuna siku nilibahatika kufika ofisini kwake ..jamaa kafungua AC utadhani huko nnje miale ya jua imulika moja kwa moja toka juu..yani kaifungua baridi sijui la wapi huko linanafuu
 
Duh
 
Good!! Fanya kazi kama nilivyokutuma.

You will be paid handsomely😂😂😂
 
Watu Wa mitandaoni mnawezana wenyewe aisee. Huyu baba si ana watoto huyu? I can't imagine how they feel anavyofanyiwa japo kayataka mwenyewe... It's funny but not funny... Kumbe kibamia chake Ni hazina ya taifa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…