Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
hivi huyu W. J. Malechela huwa ni Celebrate au?
huyu jamaa @WJMALICHELA hana nafasi ya kumshinda mbunge wa Mtera ndani ya CCM kwa sasa !
Ni Big celeb king of all social network Tanzania.
Ngoja aje ajibu kila mmoja hapaa yupo busy Mwanza
Kaka umeongea lugha ngumu!hapo ndio huwa najua umuhimu wa kondom
Lemutuz ana miaka.mingapi tafadhali. Kuna kipindi alikuwa 52.
huyu jamaa ananiuz sana. Lipo Lipo Tu. Mimi nameki hela kichiz hapa Copenhagen kwakuosha vyombo na kufagia tu hata kuliko mishahara ya mameneja mafisad bongo. 170 krone per hour bliv me not. 47,000 madaf iyo ma'am make!! Nakwacku nakupigia masaa 14 ma'am mae! Hili KJ nalichukia. Namlia tu taiming. Nxt summer nikitinga homu ntamfuata ofisin kwake. Kila kofi laki nampa ma'am make! ! Cheseya Denmark weyeeLe mbululaz
Huko Instagram hapatoshi. Ni mapambano makali kati ya Lemutuz na Teams mbalimbali. @ WILLIAM MALECELA huoni kama hivyo vita vya panya unavyo pambana, vitakuharibia kwenye mbio zako za kugombea ubunge wa jimbo la Mtera mwaka 2015. Kuna jamaa huko Insta anajiita " SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".
Ni Big celeb king of all social network Tanzania.
huyu jamaa ananiuz sana. Lipo Lipo Tu. Mimi nameki hela kichiz hapa Copenhagen kwakuosha vyombo na kufagia tu hata kuliko mishahara ya mameneja mafisad bongo. 170 krone per hour bliv me not. 47,000 madaf iyo ma'am make!! Nakwacku nakupigia masaa 14 ma'am mae! Hili KJ nalichukia. Namlia tu taiming. Nxt summer nikitinga homu ntamfuata ofisin kwake. Kila kofi laki nampa ma'am make! ! Cheseya Denmark weyee