Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kolo kwel,limbuken wa Ulaya.
Nawe uwe unatutambia basi,tutajuaje kama na wewe upo kenya na useme unafanya nini huko,si umeona simba anavyojishongondoa humu na denmark ya waosha vyombo?
hapo ndio huwa najua umuhimu wa kondom
suala sio
jina tu,na hashuo zako hizo.hata ukija na ID nyingine ukianza upuuzi wa denmark utakula za uso tu.
asante sana ni za uso ulizonipa ndio zimenibalisha niwe nan izam. Have the good gesture of Tanzania to forgive and forget. Kwenye id yang mpya ntakuwa na mipaka nikipostsuala sio
jina tu,na hashuo zako hizo.hata ukija na ID nyingine ukianza upuuzi wa denmark utakula za uso tu.
asante sana ni za uso ulizonipa ndio zimenibalisha niwe nan izam. Have the good gesture of Tanzania to forgive and forget. Kwenye id yang mpya ntakuwa na mipaka nikipost
Mi nipo Kenyaaa banaaa mwisho unionee wivu akuu
Le Mutuz naye enzi zake wakati anaendesha roli Marekani alikuwa na kibwagizo chake mwisho wa sentensi kilikuwa kinasomeka hivi.......
Le Mutuz Le baharia The Big show, @ NYC USA.
asante sana ni za uso ulizonipa ndio zimenibalisha niwe nan izam. Have the good gesture of Tanzania to forgive and forget. Kwenye id yang mpya ntakuwa na mipaka nikipost
kama unachoandika unamaanisha basi bora le mutuzhuyu jamaa ananiuz sana. Lipo Lipo Tu. Mimi nameki hela kichiz hapa Copenhagen kwakuosha vyombo na kufagia tu hata kuliko mishahara ya mameneja mafisad bongo. 170 krone per hour bliv me not. 47,000 madaf iyo ma'am make!! Nakwacku nakupigia masaa 14 ma'am mae! Hili KJ nalichukia. Namlia tu taiming. Nxt summer nikitinga homu ntamfuata ofisin kwake. Kila kofi laki nampa ma'am make! ! Cheseya Denmark weyee
huyo ndo kawaida
yake,ni limbukeni hakuna maelezo hakuna mchango atakaotoa bila
kujishebedua humu.
Analingana kiumri na Ana KilangoLemutuz ana miaka.mingapi tafadhali. Kuna kipindi alikuwa 52.
huyu jamaa ananiuz sana. Lipo Lipo Tu. Mimi nameki hela kichiz hapa Copenhagen kwakuosha vyombo na kufagia tu hata kuliko mishahara ya mameneja mafisad bongo. 170 krone per hour bliv me not. 47,000 madaf iyo ma'am make!! Nakwacku nakupigia masaa 14 ma'am mae! Hili KJ nalichukia. Namlia tu taiming. Nxt summer nikitinga homu ntamfuata ofisin kwake. Kila kofi laki nampa ma'am make! ! Cheseya Denmark weyee

Bila kujali kama amekosewa au la, cjapenda namna alvojibu pale alipokua akihojiwa na clouds, yana anajigamba as if serikali ni yake.