Lemutuz na instagram

Lemutuz na instagram

Status
Not open for further replies.
Huu ndo upuuzi ambao sipendi kuusikia KAMWE Kwa wasomi wenzangu wa JF
It's embarrassing kuweka such comment,ni kukosa adabu na umakini
It really shows that your calibre is just too low

Hahahaha wasomi wenzako? Hahaha nani alikwambia kuna wasomi wenzako humu JF? Nini kilikufanya ufikirie una wasomi WENZAKO humu? Kwani siku hizi uki apply membership JF unatuma CV? Naomba nijulishwe maana mimi wa zamani kidogo.

Halaf kwani msomi wewe umesoma mpaka la ngapi mwenzetu?
 
Hahahaha wasomi wenzako? Hahaha nani alikwambia kuna wasomi wenzako humu JF? Nini kilikufanya ufikirie una wasomi WENZAKO humu? Kwani siku hizi uki apply membership JF unatuma CV? Naomba nijulishwe maana mimi wa zamani kidogo.

Halaf kwani msomi wewe umesoma mpaka la ngapi mwenzetu?

Nini maana ya great thinkers?ukifanikiwa kujibu hili then swali Lako hapo juu litakuwa valid otherwise
#iamout
 
Ndo tatizo la vijana waliolelewa na mama wa kambo km le mutuz
 
Huko Instagram hapatoshi. Ni mapambano makali kati ya Lemutuz na Teams mbalimbali. @ WILLIAM MALECELA huoni kama hivyo vita vya panya unavyo pambana, vitakuharibia kwenye mbio zako za kugombea ubunge wa jimbo la Mtera mwaka 2015. Kuna jamaa huko Insta anajiita " SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".

Mapambano dhidi ya uongozi,sikazi ndogo ila bidii
 
Katika thread zote kwa mwaka huu hii kwangu ni kiboko, nimecheka sana hadi najishangaa.
 
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.

Eneo lake ni mashati kumi ya Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom