Lemutuz na instagram

Lemutuz na instagram

Status
Not open for further replies.
Lemutuz ana miaka.mingapi tafadhali. Kuna kipindi alikuwa 52.
 
Le mbululaz
huyu jamaa ananiuz sana. Lipo Lipo Tu. Mimi nameki hela kichiz hapa Copenhagen kwakuosha vyombo na kufagia tu hata kuliko mishahara ya mameneja mafisad bongo. 170 krone per hour bliv me not. 47,000 madaf iyo ma'am make!! Nakwacku nakupigia masaa 14 ma'am mae! Hili KJ nalichukia. Namlia tu taiming. Nxt summer nikitinga homu ntamfuata ofisin kwake. Kila kofi laki nampa ma'am make! ! Cheseya Denmark weyee
 
Huko Instagram hapatoshi. Ni mapambano makali kati ya Lemutuz na Teams mbalimbali. @ WILLIAM MALECELA huoni kama hivyo vita vya panya unavyo pambana, vitakuharibia kwenye mbio zako za kugombea ubunge wa jimbo la Mtera mwaka 2015. Kuna jamaa huko Insta anajiita " SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".

Nimecheka sana aisee
 
Mnataka afanyeje labda?nyinyi mnayoyafanya mazuri sana eeh?
 
Hehee watu kwa kujigamba ni hatari.
huyu jamaa ananiuz sana. Lipo Lipo Tu. Mimi nameki hela kichiz hapa Copenhagen kwakuosha vyombo na kufagia tu hata kuliko mishahara ya mameneja mafisad bongo. 170 krone per hour bliv me not. 47,000 madaf iyo ma'am make!! Nakwacku nakupigia masaa 14 ma'am mae! Hili KJ nalichukia. Namlia tu taiming. Nxt summer nikitinga homu ntamfuata ofisin kwake. Kila kofi laki nampa ma'am make! ! Cheseya Denmark weyee
 
huyu jamaa ananiuz sana. Lipo Lipo Tu. Mimi nameki hela kichiz hapa Copenhagen kwakuosha vyombo na kufagia tu hata kuliko mishahara ya mameneja mafisad bongo. 170 krone per hour bliv me not. 47,000 madaf iyo ma'am make!! Nakwacku nakupigia masaa 14 ma'am mae! Hili KJ nalichukia. Namlia tu taiming. Nxt summer nikitinga homu ntamfuata ofisin kwake. Kila kofi laki nampa ma'am make! ! Cheseya Denmark weyee

Sasa sisi wewe kuwepo Denmark sisi inatuhusu nini? Ushamba wa kizamani sana huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom