Lemutuz na instagram

Status
Not open for further replies.
Sasa sisi wewe kuwepo Denmark sisi inatuhusu nini? Ushamba wa kizamani sana huu.
cyo najigamba bro. Ujaipata concept yangu. Huyu jamaa humu jamvin anatuzarau sana wanadiaspora eti tumechoka mbaya sana bora turud homu. Ni hasira tu mwanajamv mwenzangu.
 
"SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".
Ahahahahaaaaa....! Ngoja aje kutuchamba hapa...Nmecheka mpk machozi ...
Daaaaah....watu mna maneno
 
Hivi huwezi kuchangia bila kusema uko denmark?acha uboya wewe!
 
cyo najigamba bro. Ujaipata concept yangu. Huyu jamaa humu jamvin anatuzarau sana wanadiaspora eti tumechoka mbaya sana bora turud homu. Ni hasira tu mwanajamv mwenzangu.

huna lolote ushamba tu unakusumbua,kama una hasira mfate le mutuz kwenye blog yake,huku kila mchango wako lazima utangaze uko denmark,inatuhusu nini? Na kama mmechoka msiambiwe? Unatupa kichefuchefu na kizunguzungu,huna hata aibu.
 
huyo ndo kawaida yake,ni limbukeni hakuna maelezo hakuna mchango atakaotoa bila kujishebedua humu.
una maumiv makal Sn. Jikaze 2. Bado kijana mdogo @25 tu nakamata hela kichiz ma'am maee. Mimi ni mtu kati ya watu anayeishi na watu na aliyeona watu. This my last post in JF as Mufti lion.
 
una maumiv makal Sn. Jikaze 2. Bado kijana mdogo @25 tu nakamata hela kichiz ma'am maee. Mimi ni mtu kati ya watu anayeishi na watu na aliyeona watu. This my last post in JF as Mufti lion.

ukwendree huko na ushamba wako.umeshushuliwa hilo,hii post ya pili kupata shushuo hapa,nenda mwana kwenda uje na Id mpya uanze kujinyea nyea hapa.aah babu we una hashuo la kwapa kunuka bila kidonda,denmark,denmark we ndo wa kwanza kwenda??looh mfyuuuu
 
Hii sredi hajaiona kweli?
 
Polen Sn wanajamvi wenzangu wote cc ni ndugu. Cjigamb wala kujishebedua. Cta2mia Tena mufti lion. Ila lemutuz acha zarau kwa wanadiaspora.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…