Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
cyo najigamba bro. Ujaipata concept yangu. Huyu jamaa humu jamvin anatuzarau sana wanadiaspora eti tumechoka mbaya sana bora turud homu. Ni hasira tu mwanajamv mwenzangu.Sasa sisi wewe kuwepo Denmark sisi inatuhusu nini? Ushamba wa kizamani sana huu.