Lemutuz na instagram

Status
Not open for further replies.
Nawe uwe unatutambia basi,tutajuaje kama na wewe upo kenya na useme unafanya nini huko,si umeona simba anavyojishongondoa humu na denmark ya waosha vyombo?

Mi nipo Kenyaaa banaaa mwisho unionee wivu akuu
 
suala sio
jina tu,na hashuo zako hizo.hata ukija na ID nyingine ukianza upuuzi wa denmark utakula za uso tu.
asante sana ni za uso ulizonipa ndio zimenibalisha niwe nan izam. Have the good gesture of Tanzania to forgive and forget. Kwenye id yang mpya ntakuwa na mipaka nikipost
 
asante sana ni za uso ulizonipa ndio zimenibalisha niwe nan izam. Have the good gesture of Tanzania to forgive and forget. Kwenye id yang mpya ntakuwa na mipaka nikipost

Siuseme tuu upo tandale au matejooo unauza zako mkaa kwani shida ni nini!!
 
Le Mutuz naye enzi zake wakati anaendesha roli Marekani alikuwa na kibwagizo chake mwisho wa sentensi kilikuwa kinasomeka hivi.......

Le Mutuz Le baharia The Big show, @ NYC USA.

naona ilikuwa sign yake sio?wala si kama muft lion.
 
asante sana ni za uso ulizonipa ndio zimenibalisha niwe nan izam. Have the good gesture of Tanzania to forgive and forget. Kwenye id yang mpya ntakuwa na mipaka nikipost

safi sana,kwa hiyo id yako mpya ndo hiyo?tujuze vizuri tukufatilie kama kweli umejirekebisha.
 
Kuweni na kiasi,msiingilie utaratibu binafsi aliojipangia maana ni haki yake,hajavunja sheria.
 
kama unachoandika unamaanisha basi bora le mutuz
 
Mkuu unataka umtandike makofi bonge!?
 
Mufti Lion na mimi nichukue mkuu, hii bongo kutoboa ni maghumashi sana
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz
 
Attachments

  • 1412364357321.jpg
    20.1 KB · Views: 485
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…