Mbona anatafunwa na NAPE.
Le Mutuz
Huu ndo upuuzi ambao sipendi kuusikia KAMWE Kwa wasomi wenzangu wa JF
It's embarrassing kuweka such comment,ni kukosa adabu na umakini
It really shows that your calibre is just too low
Hahahaha wasomi wenzako? Hahaha nani alikwambia kuna wasomi wenzako humu JF? Nini kilikufanya ufikirie una wasomi WENZAKO humu? Kwani siku hizi uki apply membership JF unatuma CV? Naomba nijulishwe maana mimi wa zamani kidogo.
Halaf kwani msomi wewe umesoma mpaka la ngapi mwenzetu?
Eti shati la le mutuz linatosha kufunikia nini vile...!!??Nini maana ya great thinkers?ukifanikiwa kujibu hili then swali Lako hapo juu litakuwa valid otherwise
#iamout
Hizo party mi zishanipitaa nipo nalea mume!
Eti shati la le mutuz linatosha kufunikia nini vile...!!??
Huko Instagram hapatoshi. Ni mapambano makali kati ya Lemutuz na Teams mbalimbali. @ WILLIAM MALECELA huoni kama hivyo vita vya panya unavyo pambana, vitakuharibia kwenye mbio zako za kugombea ubunge wa jimbo la Mtera mwaka 2015. Kuna jamaa huko Insta anajiita " SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".
"Le Mutuz" King of Instagram in TZ!
Mbona anatafunwa na NAPE.
lemutuz ni gay?she????????
Mufti Lion na mimi nichukue mkuu, hii bongo kutoboa ni maghumashi sana
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni
Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.
Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.
Email yangu ni woowtv@live.co.uk
NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.
ASANTENI.
Ninavyo Kigamboni Mwasonga Vina offer na Gezaulole, Ni PM namba yako.
Habar za tunduru!! ulipotelea wapi mbona muda mrefu sijakuona humu???huyo ndo kawaida yake,ni limbukeni hakuna maelezo hakuna mchango atakaotoa bila kujishebedua humu.
Je vimepimwa? Naomba unitumie pics nione plz