Lemutuz na instagram

Lemutuz na instagram

Status
Not open for further replies.
1743044_769851806389739_1478586768_n.jpg
Cheki tishet ya le mutuz,mwe hata starlet mbili zinafunikwa
 
una maumiv makal Sn. Jikaze 2. Bado kijana mdogo @25 tu nakamata hela kichiz ma'am maee. Mimi ni mtu kati ya watu anayeishi na watu na aliyeona watu. This my last post in JF as Mufti lion.

Hahhaha itakuwa mara ya kwanza ndio umetoka nje ya nchi kamanda,au itakuwa ulitoka bila kutegemea na ulikuwa hutegemei kuja kuishi nje, kijana watumiaji wa JF wengi wao wapo nje ya nchi, akianza kila mtu kujishebedua na alipo itakuwa wazimu tu,
 
Mimi nilipoiona hii picha,nikakumbuka hii thread acha nicheke,le Mutuzi ni burudani tosha

Kwakweli Mimi huwa nikiona comments zake au habari inayo muhusu huwa naongeza siku kwa kicheko na furaha
 
Du kwl nimecheka kama nikuongeza cku za kuishi basi nimeongeza du mana picha inaendana kbs na maneno shati la le mburulazi linatosha kufunika starlet
 
Hahahahahahaha sitosahau hii kali ya mwaka daaa
 

Attachments

  • 1412451646023.jpg
    1412451646023.jpg
    10 KB · Views: 226
Huu ndo upuuzi ambao sipendi kuusikia KAMWE Kwa wasomi wenzangu wa JF
It's embarrassing kuweka such comment,ni kukosa adabu na umakini
It really shows that your calibre is just too low

Anzisha blogu yako ya wasomi ili usikwazike.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom