Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Uzungu uzunguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajua kutenganisha mahusiano na kazi[emoji4]
Tukae kimya dakika moja kumuombea bintiLena The plug akiwa na familia Yake
(Mumewe Adams na binti yao)View attachment 2688162
Wazungu Ni viumbe wa ajabu Sana kuwahi kuishi Duniani.
Kitabu Cha Enock kilielezea chimbuko la wazungu SEMA kiliondolewa kwenye Biblia.
Umesoma uzi ukaelewa?Ukiolewa na mtu wa hivyo ni kama hujaolewa,mtu ambae hatambui commitment anaku fulfil vipi sasa,,,,,unajisikiaje kukaa na mtu ambae saa yoyote anaenda kwa mtu mwingine?...kwa kweli wanayaweza...
Mtu ana ndoa yake na bado ana sex na wengine, kwani wewe umeuelewaje?Umesoma uzi ukaelewa?
Basi hujaelewa. Soma tenaMtu ana ndoa yake na bado ana sex na wengine, kwani wewe umeuelewaje?
Kabisaaa... Ni mtu mjinga ndio analeta wivu kwenye suala la mbususuSema IQ ya mzungu iko level za peke yake, ni ujinga kuonea wivu mbususu.
Wewe unashangaa hivyo? Denis Rodman mcheza basketball enz za Michael Jordan alijioa mwenyewe tena kwa kufunga ndoa.Ndo wanajikutaga wanafunga ndoa na mbwa, paka. Kuna mmoja alifunga ndoa na jengo refu kwenye mji wake na shela akavaa. Anasema sijui jengo limempa faraja muda sana, sijui lina upepo mwanana. Hata sikuelewa nikaachana na hiyo habari.
Utakuta hao wameathirika hawana cha kupoteza.Hata bongo ipo sana tu Pana jamaa Huwa wanawasindikiza mademu zao kwenda kujiuza then usiku mnene wanarejea wote Getto.
Ndoa TAKATIFU? Ilifungwa kanisani? Wazungu wana mambo ya ovyo sanaLena The plug akiwa na mumewe Adams siku Yao kufunga ndoa TakatifuView attachment 2688161