Lengai Ole Sabaya, asante kwa utumishi wako

Nchi ina taratibu zake, kama una habari za magendo kwanza kaombe search warrant halafu nenda muda wa kawaida tu. Haina haja ya kwenda usiku
Mbona duka lenyewe halijali "mida ya kawaida" ?

Liko wazi usiku kucha, kwa nini Mkuu wa Wilaya alale usiku kucha ?
 
Ole Sabaya alivamia usiku kwa sababu duka lilikuwa lina operate usiku.

Kama biashara ziko wazi usiku kwa nini serikali ilale usiku ?
Punguani wewe,
Sasa ndo keshatumbuliwa na bado kuna jambo linamsubiri.
We uliona tu akivamia hilo duka mengine hukuona
 
Ahsante

Angalau umeona hilo lilikuwa jema

Nikajiuliza, hivi kumbe hao wafanyabiashara wenyewe wanaosemwa wanaonewa ndio hawa wanaoficha shehena za mapipa ya dizeli ndani ya go down??

Yakilipuka majirani watapona?

Tunawatetea hawa watu ?
Kajinyonge uungane na mwendazake
 
chini ya jeshi la polis na kwenda fanya ukaguzi kwake KWA kushirikiana na vyombo vingine ikiwemo TRA n.k
TRA walikuwepo

Polisi walikuwepo

Afisa biashara wa Wilaya alikuwepo

Jeshi la polisi lilikuwepo

Waandishi walikuwepo.

Nani alikosekana wa kuambatana nae, international observer from the European Union?
 
Mama yetu bado anahasira na JPM! Uhakika ni kwamba ghafla atajikwaa na kuvunjika!
 
Acha upumbafu wewe , huyu mtu hatofautiani na shetani
 

Mama Samia kikulacho ki nguoni mwako. Bado wapo wengi. Kumbuka genge la wasukuma si la kikabila bali la ki imani zaidi.

Katelefoni, katelefoni. Ninakazia katelefoni!
 
Unafahamu vipi kuwa huyu halipi kodi, na mkwepa kodi anaadhibiwa vipi ikithibitika, anathibitishwa na nani kuwa ana hatia, hukumu inatolewa na nani na kwa utaratibu upi?
Ukifuata taratibu tulizojiwekea utapendwa na raia wema maana hutamwonea mtu.
Alijua halipi kodi kwa sababu leseni iliyotundikwa mbele ya kiduka ni ya kuuza vocha, vibanio vya mabutu na mafuta ya taa.

Pia alitumwa government informant akapewa risiti feki, ina jina la duka lingine.

Unalipaje kodi kama biashara hujasajili ?
 
Ha ha haaaaaa!, kwa hiyo Ole Lengai Sabaya alikuwa modal wako?, Hahahaaaaa
 
TRA walikuwepo

Polisi walikuwepo

Afisa biashara wa Wilaya alikuwepo

Jeshi la polisi lilikuwepo

Waandishi walikuwepo.

Nani alikosekana wa kuambatana nae, international observer from the European Union?
Vipi tuhuma zingine ambazo zinamuonesha kupitia cctv clip n.k akitumia UN fake car , akiwa kwenye duka moja anachukua pesa usiku, ile ya kuomba ml 5 TOKA KWA mmiliki wa hotel ile ya kitalii, watu Katwa masikio, kupigilia misumali watu , na zinge unazungumziaje,? Tusubili uchunguzi na Kama zitakua za kweli Basi kifungo Cha maisha kinamuhusu,shame on him
 
We tapeli unajisumbua tu,we ni jambazi
 
Kumbe Sabaya umeanzisha nyuzi kibao kusafisha ujambazi wako
 
Kwenye giza totoro ndiyo mlikuwa mnafanya yenu

Ova
 
Alijua halipi kodi kwa sababu leseni iliyotundikwa mbele ya kiduka ni ya kuuza vocha, vibanio vya mabutu na mafuta ya taa.

Pia alitumwa informant akapewa risiti feki, ina jina la duka lingine.

Unalipaje kodi kama biashara hujasajili ?
Halafu akafanyaje kumwajibisha? Usieleze nusunusu. Tuna taratibu na sheria ya kushughulika na majambazi ya kodi, alizifuata?
 
Unge attach na evidence zinazoonyesha ni mkwepa kodi na anamiliki nishati ya mafuta kinyume na utaratib. Mjifunze kuleta malalamiko mki attach na evidence, acheni mamb ya conspiracy theories!!!
 
wapuuuzi wa humu hawatakuelewa ...ktk serikali ya sasa wanaohitajika sio wa hulka ya ole sabaya wanaotafutwa ni wa dizaini ya kina nape,january,ridhiwani,nyalandu na the like
 
Kwani angeenda mchana hivyo vitu asingevikuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…