Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni jambazi sugu ndiyo maana alikuwa anavamia usiku wa mananeUtawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Kama ulipenda alichokisimamia John Magufuli pengine leo ni siku ya huzuni.
Nilimwona kwenye clip mapema mwaka huu saa sita za usiku akivamia kibanda cha mchaga kwa mbele, kwa nyuma ni ghala lenye shehena ya mzigo wa bia na mapipa ya dizeli na petroli zinazouzwa bila kulipiwa kodi, bila kutolewa risiti, bila taratibu za kuhifadhi shehena ya petroli ndani ya jengo wala bila ya usajili wa biashara zaidi ya leseni za kuuza vocha na mafuta ya taa.
Alikuwa amebeba tochi, amejikunyata kwenye kikoti cha baridi, ameambatana na afisa wa TRA, mwanahabari na askari polisi.
Sikuwahi kumwona au kusikia kiongozi wa nchi hii katika historia yake ya miaka 60 akifanya kazi nje ya ofisi kwenye giza tororo saba usiku, awe Afisa Mtendaji, Diwani, Mbunge, Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais au Rais.
Nitamkumbuka kwa taswira ile.
Kuna wakati members wa humu waliomba jukwaa lakuporomosheana lugha za kuudhi. Lakini mamlaka ya JF ilikataa wakati huo. Sasa kwa kuwa " kuna kufunguliwa fulani hivi" hapa jukwaani, ni wakati sasa moderators watangaze uwepo wa Jukwaa hilo, ili sisi tusioshabikia lugha hizo tujue chakufanya.Mkuki kwa nguruwe... .....
Hata vitani kuna wanahabari. Na uwepo wao uweka mambo hadharani. Tanzania yetu ukijitoa kwa moyo kuitumikia, utapigwa vita siku zote. Sikuwa mshabiki wa Sabaya wala simjui. Lakini nadhani alichofanya alifanya kwa maslahi mapana ya Taifa.Kwa nini mwanahabari asiwepo kwenye ambush?
Mfanyabiashara akisema DC Ole Sabaya alikuja kuomba rushwa nikamkatalia, atajitetea vipi bila ushahidi wa camera ??
Na akishambuliwa akiuliwa kwenye ambush ya serikali saa sita usiku kwenye go down la mtu kwa nini kusiwe na recording cameras ????
Mkafie mbali na hizo LEGACY zenu. Na ningekuwa mimi ndiye Rais, ningewaondoa wendawazimu na vichaa wote waliopewa majukumu makubwa ya kiutawala, kinyume kabisa na utaratibu.Utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Kama ulipenda alichokisimamia John Magufuli pengine leo ni siku ya huzuni.
Nilimwona kwenye clip mapema mwaka huu saa sita za usiku akivamia kibanda cha mchaga kwa mbele, kwa nyuma ni ghala lenye shehena ya mzigo wa bia na mapipa ya dizeli na petroli zinazouzwa bila kulipiwa kodi, bila kutolewa risiti, bila taratibu za kuhifadhi shehena ya petroli ndani ya jengo wala bila ya usajili wa biashara zaidi ya leseni za kuuza vocha na mafuta ya taa.
Alikuwa amebeba tochi, amejikunyata kwenye kikoti cha baridi, ameambatana na afisa wa TRA, mwanahabari na askari polisi.
Sikuwahi kumwona au kusikia kiongozi wa nchi hii katika historia yake ya miaka 60 akifanya kazi nje ya ofisi kwenye giza tororo saba usiku, awe Afisa Mtendaji, Diwani, Mbunge, Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais au Rais.
Nitamkumbuka kwa taswira ile.
Hakuweza kuonyesha leseni ya biashara ya bia, makreti elfu tanoUnge attach na evidence zinazoonyesha ni mkwepa kodi na anamiliki nishati ya mafuta kinyume na utaratib. Mjifunze kuleta malalamiko mki attach na evidence, acheni mamb ya conspiracy theories!!!
Kwani alikamatwa na nani, Sungusungu wa Kimasai wa ulinzi binafsi wa Ole Sabaya?kwamba hakuna taratibu zingine za kumkamata mchana chini ya jeshi la polis na kwenda fanya ukaguzi kwake KWA kushirikiana na vyombo vingine ikiwemo TRA n.k achana kufanya Mambo Kama vile tz haijawai kuwa na taratibu au mifumo mnatia aibu
Tusubili report ya uchunguzi , utetezi usio na tija kwa sabaya hautakiwiKwani alikamatwa na nani, Sungusungu wa Kimasai wa ulinzi binafsi wa Ole Sabaya?
Polisi walikuwepo
TRA walikuwepo
Afisa Biashara wa Wilaya alikuwepo
Waandishi walikuwepo
Cooperating witness aliyetumwa na serikali kwenda kununua ma elfu ya kreti za bia usiku wa manane kwenye duka la makompasi ya watoto na vibanio vya mabutu alikuwepo.
Nani mwingine unashauri alitakiwa kuambatana na DC Sabaya, Mwangalizi wa Kimataifa kutoka Umoja wa Ulaya ???????
akienda kimya kimya mnakuja na nyuzi kwamba kateka mfanyabisha,kampiga sana na kumkata rinda.Hahaha .. vichekesho kama hivi unavipata wapi?
Yaani mwanahabari pia alikuwepo kwenye ambush?Na bado unaona huyo ni mchapakazi?
Watu huwa mnarogwa vibaya sana
hii ni kwa utaratibu wa kijiwe gani???Nchi ina taratibu zake, kama una habari za magendo kwanza kaombe search warrant halafu nenda muda wa kawaida tu. Haina haja ya kwenda usiku wakati mapipa ya mafuta si madawa ya kulevya kuwa unaweza kuuficha
Sabaya ni jambazi alipaswa kuwa gerezani.
Viongozi mafedhuli kama Sabaya ni mojawapo ya Legacy ya jiwe. Bado Hapi, Chalamila na Bykanwa
Sidhani kama wewe ni mzima kichwani, sehemu pekee uliyotakiwa kuwepo ni mirembe au kaburuni.Kama ulipenda alichokisimamia John Magufuli pengine leo ni siku ya huzuni.
Ndio kazi ya DC,??Utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Kama ulipenda alichokisimamia John Magufuli pengine leo ni siku ya huzuni.
Nilimwona kwenye clip mapema mwaka huu saa sita za usiku akivamia kibanda cha mchaga kwa mbele, kwa nyuma ni ghala lenye shehena ya mzigo wa bia na mapipa ya dizeli na petroli zinazouzwa bila kulipiwa kodi, bila kutolewa risiti, bila taratibu za kuhifadhi shehena ya petroli ndani ya jengo wala bila ya usajili wa biashara zaidi ya leseni za kuuza vocha na mafuta ya taa.
Alikuwa amebeba tochi, amejikunyata kwenye kikoti cha baridi, ameambatana na afisa wa TRA, mwanahabari na askari polisi.
Sikuwahi kumwona au kusikia kiongozi wa nchi hii katika historia yake ya miaka 60 akifanya kazi nje ya ofisi kwenye giza tororo saba usiku, awe Afisa Mtendaji, Diwani, Mbunge, Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais au Rais.
Nitamkumbuka kwa taswira ile.
Ndio.Ndio kazi ya DC,??