Lengai Ole Sabaya, asante kwa utumishi wako

Unachekesha sana
 
Heshima kwako Rais Samia Suluhu! Ishi kama jina lako! Suluhisha!! Ukiwa mwema Mungu atakulinda lakini ukiwa mbaya malipo yatakuwa hapa hapa duniani!! Big up!! Conduct reconciliation proccess ili Tz iwe moja tena na hapo utafurahia utawala wako!! Bila suluhu utakuwa na wakati mgumu na uchumi wetu utaangamia!!
Mungu awe nawe daima!!
 
Huu ni ushahid wa kusadikika tuu TRA wangetoa sababu za uvamizi, kisheria wangesema makosa yake lkn sio huyo jamaa yako. Hana uelewa wowote, inakuaje avamie hotel ya mtu saa nane za ucku? Kama sio ujambaz huo
 

Hongera kwa kuiba na kujitajirisha 😂😂 watu vituko
 
Kwanini hakupeleka taarifa kwa mamlaka husika zikafanye kazi?

Huo ni uzandiki wa kisiasa tu hamna lolote
 
UPUUZI MTUPU!
 
Usiache kumkumbuka kwa vitendo vya unyang'anyi pia
 
Majizi na majambazi hamna nafasi kwa mama. Kufeni na nyie mkapumzike na jambazi tesaji na dhulumati kuu la nchi hii adhimu
 
Huyu sabaya na Makonda waisidie polisi ili kupata ufumbuzi wa case za wasiojulikana
 
Kaka usijisumbue humu wamejaa wapumbavu, kazi yao ni kugeuza nyeupe kuwa nyeusi na nyeusi kuwa nyeupe. Infact, huu ni wakati wao, waache wafurahie kwa mapambio. Mungu ametupa mtihani mkubwa sana kumuondoa JPM mapema sana, lakini kila kitu kina makusudi yake. Tusubirie kusudio la mungu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Sifa ya kijinga kabisa hii, kwani angeenda mchana asingeona? Tatizo likishajulikana Luna haja gani ya kwenda usiku? Kuna haja gani ya kwenda na ma camera?
Acha kutetea upumbavu. Kwani kwenda usiku au mchana inaleta tofauti gani? Serikali ipo macho wakati wote. Umeshaambiwa biashara ni ya magendo, ulitegemea itakua wazi mchana? Yaani mmejawa na chuki mpaka mnatetea uhalifu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Tuambie job descriptions za kuwa
1. DC
2.Afisa wa TRA
Mnatuona watanzania wote ni mazwazwa sio?
 
Na kwanini afanye msako usiku wa manane wakati wananchi walio wengi wakiwa wamelala Kama hakuwa anajitengenezea mazingira ya wizi na rushwa! Kwanini Kama alikuwa na taarifa za uhujumu uchumi hakusubiri kukuche? Huyu alikuwa jambazi tu na hakuna jina jingine zuri la kumuita!
 
Jiongeze na wewe khah! Sifa huua ujue! Hivi mwenye Mali angejihami kwa kudhani hayo ni majambazi ungeyaandika haya? Asubuhi haikuwa mbali angesubiri na hiyo ndiyo busara ya uongozi!
 
Sababu za Sabaya kuangua kilio pale Mkapa chozi jicho moja zimekwisha fahamika.
Alijua kuwa mtetezi wa upumbavu wake kafa hivyo hana maisha tena kwenye siasa, na ndio maana akaandaa mchongo wa kujisafisha Clouds lakini kumbe ndio katiba kabisa.
Miezi miwili kadoto siku kadhaa mama sio tuu kamtema bali kuagiza achunguzwe kuona jinai kama zipo (ambayo ni wazi hata mtoto anajua zipo) akanyee ndoo.
 
Mh rais kajidhalilisha kupiat maelezo na itakuwa fimbo ya kutofanikiwa huko mbeleni. Alitakiwa amwite an kumwonywa kama msaidizi na mwanae kabla ya kuandika barua ya kumsimamisha hadharani kwa jinsi ile.

Mkurugenzi wa mawasiliano naye amekuwa mtu wakuchanganya zege za kila sampuli kuna siku na yeye atatumbuliwa bila hiyana.

Hakuna kijana atajitokeza kwa sasa kujiunga katika ujenzi wa nchi na Rais hasa akitokea chama tawala labda wale waliotemwa awamu iliyopita kwa rushwa, usaliti na uzandiki.

Huo ndio ukweli

Ni bora kwa sasa vijana wachamngamkie chama cha ACT Wazalendo ili kuifuta kabisa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…