Lengai Ole Sabaya, asante kwa utumishi wako

Tafuta wa kukutetea sio kila dk unabadili Id ili uonekane unawatetezi na Leo ndio mmenifumbua macho Lumumba fc hamfiki hata 10 hapa jukwaani
 
Huyo Sabaya ni Afisa wa TRA hadi ajue kodi haikua ikilipwa
 
Wananchi walikuwa wamelala lakini duka lilikuwa wazi.

John Magufuli alipinga vikali serikali kwenda kulala saa 12 jioni bendera ya Jamhuri ikishuka. DC Sabaya alikuwa macho usiku Hai muda wowote ambao Rais alikuwa macho usiku Ikulu.

Himaya ya nchi inasimama masaa 24.

Biashara zikiwa wazi, tena za magendo, kwa nini serikali ikalale ?
 
Raia anakwenda kufanya ambush kama si ujqmbazi ni nini?
 
Kumbe sabaya alikua na wake wengi hivi. Mtalia sana mpaka 2030
 
Wahitaji tubu maana akili YAO ipo mbali Sana, na Kama taifa bado mzigo tulionao bado mkubwa WATU ni wasomi ila maarifa bado sana
 
...ni hicho tu unachokifahamu?
 
Huu ni ushahid wa kusadikika tuu TRA wangetoa sababu za uvamizi, kisheria wangesema makosa yake lkn sio huyo jamaa yako. Hana uelewa wowote, inakuaje avamie hotel ya mtu saa nane za ucku? Kama sio ujambaz huo
Jambazi haendi mahala na polisi.

Jambazi hafuatwi na waandishi wa habari.

Lengai Sabaya alifanya kazi usiku na mchana.

Alikera wengi kwa kuua ngome ya upinzani Kaskazini
 
Kweli alikuwa jambazi la usiku, magufuli ana ya kujibu.
 
Jambazi haendi mahala na polisi.

Jambazi hafuatwi na waandishi wa habari.

Lengai Sabaya alifanya kazi usiku na mchana.

Alikera wengi kwa kuua ngome ya upinzani Kaskazini
Saa nane za ucku?🤣🤣🤣 Upinzani unakufa kwa kura halali na huru si vinginevyo
 
Unampenda sana mumeo
 
Aliendesha genge la wahalifu kuteka, kuua, kubambikia kesi watu haswa wenye mrengo wa upinzani na kwa kuwa tulikuwa na kiongozi wa ajabu akamwambia "You have my full support'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…