Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Mungu amtie nguvu kijana ole ....kama alizingua lazima ile kwake...ila la msingi haki itendeke
Alivyotesa watu hukusema Mungu amtie Nguvu. Mungu sio kama Athumani . Apewe miaka yake 15 gerezani basi
 
Apigwe na viboko hadharani ili viongozi wengine wapate la kujifunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea hiyo ya bakora wale wote walio waangushia bakora wenzao watajifunza kitu, Ile combination hapkihongna chalaboy. Watajua kuwa malipo yanakuwa hapa duniani kabla ya uhai kikoma.
 
Hakimu anasema kimsingi mahakama imeshawishika na kukubali kwamba Sabaya na wenzake walivamia duka, kupora fedha na walikuwa na silaha
 
Mahali wala asikonde, wakumwolea, wakutoa msaada na hata mtunzo mbona wapo wengi wa kumwaga 😁😁
Mtamdhulumu namna hiyo na kumwongezea maumivu ya malipo ya madhambi aliyokutwa nayo kama ikitokea amethibitika kutenda kosa/makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…