Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Sasa ndo atalewa ule msemo wa "heshimu watu sponsor hufa"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndo atalewa ule msemo wa "heshimu watu sponsor hufa"
Uyo mchumba wake ataolewa tu aondoe shaka na yeye uko jela ataolewa pia kwahyo hasijali kabisaKushney dadaji[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1975346
We hiyo isikie kwa Sabaya utaongea hivyo ila mwamba isikukute wewee...??Mahali wala asikonde, wakumwolea, wakutoa msaada na hata mtunzo mbona wapo wengi wa kumwaga [emoji16][emoji16]
Alivyotesa watu hukusema Mungu amtie Nguvu. Mungu sio kama Athumani . Apewe miaka yake 15 gerezani basiMungu amtie nguvu kijana ole ....kama alizingua lazima ile kwake...ila la msingi haki itendeke
Anamuacha mchumba wakekinachomliza ni nini hasa
KweliiiAtahukumiwa miaka 5
atakaa jela mwaka 1
halafu atapata msamaha wa Rais
2025 atachaguliwa kiongozi wa UVCCM
ushambiwa Armed Robbery! alikana kuwafaham hao wenzake sasa huo tu ni uongoAtahukumiwa miaka 5
atakaa jela mwaka 1
halafu atapata msamaha wa Rais
2025 atachaguliwa kuwa kiongozi wa UVCCM
Ikitokea hiyo ya bakora wale wote walio waangushia bakora wenzao watajifunza kitu, Ile combination hapkihongna chalaboy. Watajua kuwa malipo yanakuwa hapa duniani kabla ya uhai kikoma.Apigwe na viboko hadharani ili viongozi wengine wapate la kujifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
We hiyo isikie kwa Sabaya utaongea hivyo ila mwamba isikukute wewee...??
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Uko kuteuliwa aishie uko uko ccm na sio katika serikaliAtahukumiwa miaka 5
atakaa jela mwaka 1
halafu atapata msamaha wa Rais
2025 atachaguliwa kuwa kiongozi wa UVCCM
Atahukumiwa miaka 5
atakaa jela mwaka 1
halafu atapata msamaha wa Rais
2025 atachaguliwa kuwa kiongozi wa UVCCM
WeraaaaaaaaaHakimu anasema kweraaaaaaimsingi mahakama imeshawishika na kukubali kwamba Sabaya na wenzake walivamia duka, kupora fedha na walikuwa na silaha
Mtamdhulumu namna hiyo na kumwongezea maumivu ya malipo ya madhambi aliyokutwa nayo kama ikitokea amethibitika kutenda kosa/makosa.Mahali wala asikonde, wakumwolea, wakutoa msaada na hata mtunzo mbona wapo wengi wa kumwaga 😁😁