Hovyo sana siku hizi..Yaani na tittle wamebadilisha. Hiki kijiwe kilishatekwa siku nyingi. Na doubt usalama......Ngoja niishie hapa.
Sabaya ni wa kunyongwaMahakama imetenda haki ee?
Tuombe na kusali sana, Mbowe hana hatia, Mbowe hana hatia , Mbowe hana hatiaMkuu usikonde. Mungu ni mwema. Nini hakionekani? Mahakamani ni mahali pa wazi:
"Kesi inakoelemea si kunaonekana mkuu.
Kesi ya Mbowe inafuatiliwa. Kwamba Jaji kapandishwa cheo akielekea kutoa hukumu ya pingamizi 19/10, nani asiyejua?
Kwamba mawaidha ya Jaji mkuu kwa majaji ni kutoa hukumu zenye kuzingatia mwelekeo wa serikali, nani hakusikia?
Nani alisema nini mahakamani nini kisichojulikana?
Patiently yetu ni subira. 19/10 kwani ni mbali?
Kwani kimya kingi kiliacha kuwa na mshindo mkuu?"
Kweli unaifahamu bossAtapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.
Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.
hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..
Hukumu yake naifahamu.
Kuna kitu kibaya kinakuja............... CJ ana maelekezo kamili...
Ohooo.Hakuna kesi pale.
Sabaya alipaswa kushtakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na wenzake wangekuwa ndio mashahidi.
Ataachiwa huru mchana kweupe!
Mzee wa fununu na nadharia ulipotelea wapi Mkuu 🤣 🤣 🤣inasemekana Sabaya ataapelekwa kuishi msumbiji mpaka kifungo kiishe ndipo arejee
Ikitokea hivyo na hukumu Ika ingizwa ndani siasa ndani yake itakuwa mwendelezo wa kuliharibu taifa letu.Tutasikia rufaa imemtoa ndio tatizo la mahakama za ccm
Sabaya ameomba apunguziwe adhabu kwa sababu anaye mchumba ambaye ameshamtolea mahari na hivyo akihukumiwa miaka mingi atashindwa kumuoa.
Wote kwa pamojaWote kwa pamoja 30 years? Au kila mmoja?
Shenzi kabisa haki ipo wapi hapo, mtu alikuwa anapokea maelezo kutoka juu una muhukumu vipi? Kwa hiyo JPM angekuwa hai angehukumiwa?Wale waliovamiwa na kuporwa fedha zao wanajisikiaje? Muwe mnaangalia pande zote pumbavuu
Hahahaaaa....... Maji yamezidi unga bwashee!Ohooo.
Tuombe na kusali sana, Mbowe hana hatia, Mbowe hana hatia , Mbowe hana hatia
Hata bibi yako anajua kwamba mbowe amekamatwa kwa kudai katiba na só hayo mliomezeshwa ni wajinga wa kipoliccm.Ila angekuwa mbowe hapo sijui mngesemaje
Wamemuhurumia anapewa chumba chake Jela.Anyongwe😂😂
Yes alikuwa mmojawapo wa mawakili wa utetezi. Wengine aliokuwa nao ni Fridolin Gwemelo na Edmund Ngemela.Moses Mahuna ni Mwanasheria wake? Nieleweshe kama hutojali...