Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Mkuu usikonde. Mungu ni mwema. Nini hakionekani? Mahakamani ni mahali pa wazi:

"Kesi inakoelemea si kunaonekana mkuu.

Kesi ya Mbowe inafuatiliwa. Kwamba Jaji kapandishwa cheo akielekea kutoa hukumu ya pingamizi 19/10, nani asiyejua?

Kwamba mawaidha ya Jaji mkuu kwa majaji ni kutoa hukumu zenye kuzingatia mwelekeo wa serikali, nani hakusikia?

Nani alisema nini mahakamani nini kisichojulikana?

Patiently yetu ni subira. 19/10 kwani ni mbali?

Kwani kimya kingi kiliacha kuwa na mshindo mkuu?"
Tuombe na kusali sana, Mbowe hana hatia, Mbowe hana hatia , Mbowe hana hatia
 
Duh ivi hii adhabu ya viboko bado ipo kumbe ..hii ni adhabu kandamizi dhidi ya utu wa binadamu na ni adhabu ya kikoloni sanaa anyways akatumikie vipande vyake
 
hahahahaha tulikuwa tunadai haki kwa Sabaya...ndio hiyo haki Sabaya kaipata.....wengine wanadai haki kwa Mbowe pia. Sabaya anakwenda kutoa ushahidi dhidi ya Mbowe kumtishia maisha, kumbuka alitishiwa maisha akiwa kiongozi wa umma na akitekeleza majukumu ya umma....Ndio maana kuna wakati tunapaswa kutokuwa mashabiki wa siasa baadala yake tuishi kwa uhalisia bila kuangalia upande...

Unaweza kutupiwa ndoano halafu ukaimeza nzima nzima ukaimeza...
 
Wale waliovamiwa na kuporwa fedha zao wanajisikiaje? Muwe mnaangalia pande zote pumbavuu
Shenzi kabisa haki ipo wapi hapo, mtu alikuwa anapokea maelezo kutoka juu una muhukumu vipi? Kwa hiyo JPM angekuwa hai angehukumiwa?
 
Kuna wakati nilipata hisia kama hizi.
Nasema hizi ni HISIA ZANGU TU.
Au HISIA ZAKO TU.
 
Back
Top Bottom