Kila mmoja..yaani kutoka watatoka na 60 yrs. Maisha kwisha aiseeWote kwa pamoja 30 years? Au kila mmoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mmoja..yaani kutoka watatoka na 60 yrs. Maisha kwisha aiseeWote kwa pamoja 30 years? Au kila mmoja?
Bado tuendelee kusubiri Hukumu?Bwashee wewe subiri hukumu uone!
Kama igizo tupo tutajua tu. Hakuna Siri ya wawili.Sasa tusisikie mahakama haitendi haki kwa gaidi
Gaidi babua yako au vipiHukumu ya gaidi lini?
Njoo uedit post yakoAtapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.
Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.
hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..
Hukumu yake naifahamu.
Hukumu ya kuwabaka akina mwanamziki Nandi itatolewa lini?Aliyekuwa mkuu wa hai ole lengai sabaya na wenzake wamehukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
Minne inatosha
Unyang'anyi wa kutumia silaha ni mojawapo ya makosa ya jinai ambayo yana adhabu kubwa kwa hapa Tanzania.Wote kwa pamoja miaka 30?
Au kila mmoja miaka 30?
Maji yamezidi unga.Bado tuendelee kusubiri Hukumu?
Okey.. AhsanteYes alikuwa mmojawapo wa mawakili wa utetezi. Wengine aliokuwa nao ni Fridolin Gwemelo na Edmund Ngemela.
Miaka 35 ni utoto kweli raisi wa ufaransa liangia madarakani na umri gani?Utoto ulikuwa unamsumbua, they were and are still young to hold such positions. Kama ingelikuwa siyo kuwatesa/kuwa na kuwaibia watu, I would pardon him due to his young age!
Usimshangae ndiye aliyekuwa mchumba mtarajiwagaidi babua yako au vipi
Michache sanaWalikuwa 4?
Kwa hiyo kila mmoja miaka 7 na nusu jela?
Sio rahisi kihivyo.Take a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
Mama Anna yupi?Dah hatari ila jamaa alikuwa na kiburi hatari aliniudhi alivyomfanyia Mama Anna