Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Kubalansi wote Kuachiwa imeshindikana hivyo balansi inayofanyika sasa ni Wote kwenda Jela ili Jumuiya ya Kimataifa ione kuna Haki na hakuna anayeonewa Tanzania.
 
wote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...

duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...

sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui
Dua la kuku, washitakiwa wenzake Mbowe ni kazi ya mfungwa, Sasa huoni kuwa kesi hii na mwenendo ni matokeo ya mfungwa.
 
Maandalizi ya kumfunga Mbowe hakika hamtafanikiwa!!!!

Wanataka kubalance Mbowe atapigwa miaka 5+ ili wamtoe baada ya uchaguzi 2025 na ndio katiba mpya itaandikwa..

Sabaya ana makosa lakini mh hii kesi yake imehukumiwa kisiasa Sana kwa sababu ya kesi ya Mbowe..
Mbowe hawataweza kwani hata Hakimu kakosa pa kupitia na Hofu yao kubwa ni ulipaji kisasi kwa uonevu mkubwa waliotendewa na mahita na kingai
 
Civilisation ya Ufaransa huwezi lingansha na ya kwetu. Frenchmen are highly civilized, I dare say! wana matatizo yao lkn si kwa haki za binadamu, tena basic haki za binadamu wanaziheshimu sana.
Unataka kusema mkuu ufaransa hamna wanao hukumia kwa makosa ya maximum robbery? Au cijakuelewa
 
Maandalizi ya kumfunga Mbowe hakika hamtafanikiwa!!!!

Wanataka kubalance Mbowe atapigwa miaka 5+ ili wamtoe baada ya uchaguzi 2025 na ndio katiba mpya itaandikwa..

Sabaya ana makosa lakini mh hii kesi yake imehukumiwa kisiasa Sana kwa sababu ya kesi ya Mbowe..
Wakimfunga mbowe huku mtaani kinanuka.
 
Sabaya amejitetea kishamba sana Leo, Bado anasema alifanya uovu kwa kuwa Alitumwa na Mamlaka ya uteuzi

Utetezi wa pili anasema ana mchumba, Hivi mchumba ndio anakutuma udharau wananchi

Hivi kuharibu Mashamba, Kupora Mali za watu na kunajisi mabinti ndio mamlaka ilimtuma upuuzi huo

Mambo yamekuwa mambo, Katika hii dunia usimtegemee mwanadamu mwenzako Katika maamuzi

Paul Makonda ajipange, kuna siku na muda watu watataka haki zao
 
Sio rahisi kihivyo.

Kesi ya Sabaya in pure internal affair.
Ya Mbowe ina taswira ya kimataifa.

La pili, angalia muktadha na hali halisi ya Kesi zenyewe. Kuna Kesi halali na ya kubumba kisiasa zaidi.

Zote zikienda kama inavyotarajiwa, mama atahesabika ndani na nje ya nchi.
You are very right, perfectly right, lakini kwa nchi gani? Tanzania? ya Samia? Huyu mama hana aibu..... Umesikia matamshi ya CJ juzi? Kuwa lazima mahakama ziangalie mwelekeo wa serikali! I need your comment on this!
 
wote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...

duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...

sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui
Waliokuwa wanavuliwa nguo na kuambia wakae na kusimama kwenye misumari ..

Kwa mbowe kesi la kubumba lile hata
mashahidi halina..
 
Inategemea mwenendo wa kesi.
Japo naona kabisa wote wakihukumiwa sawa.
 
Back
Top Bottom