Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Sabaya amebaka watu na kurekodi video.
Mjinga sana huyu mtoto wa Magufuli.
Bashite yupo Afrika kusini huko kakimbia, arudishwe ashitakiwe amefanya mabaya zaidi ya Sabaya .
 
Mnaposhangilia pia mjiandae hizi kesi zote zipo chini ya TISS Hawa mahakimu hukumu wanaandikiwa.

Ni sawa sababya kufungwa lakini majonzi yatakuwa makubwa Sana kwa Mbowe Kama wafuasi wa chadema hawataingia barabarani.

Inawezekana Mbowe hatutamuona Tena mpaka 2026 Tena kwa dharau ataachiwa kwa msamaha wa Rais.
 
Mbowe hana hatia. Uamuzi ni wao. Bila shaka busara itatamalaki.

Utaambiwa hata kwa Sabaya busara ilitamalaki ndio maana akapigwa 30yrs baadala ya 90yrs au kunyongwa mpaka kufa.... utaambiwa mwenye uwezo wa kusema una hatia au huna ni mahakama si vinginevyo, ukitaka kuipinga mahakama kata rufaa...
 
Tushangilia hukumu hii, lakini pia ni maandalizi ya hukumu nyingine kwa mtu fulani na shahidi akiwa huyuhuyu....hapa tunaamini mahakama imetenda haki maana kwingine tutailaumu mahakama..
Huko hakuna hayo yalioko nikuwa wakubwa wa kiccm hawataki kusikia madai ya katiba mpya na ndicho alichokamatiwa yeye hayo mengine nikunogeshana tu hapo lumumba ili kuaminishwa hayo.



Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
wote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...

duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...

sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui
 
Miaka 35 ni utoto kweli raisi wa ufaransa liangia madarakani na umri gani?
Civilisation ya Ufaransa huwezi lingansha na ya kwetu. Frenchmen are highly civilized, I dare say! wana matatizo yao lkn si kwa haki za binadamu, tena basic haki za binadamu wanaziheshimu sana.
 
wote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...

duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...

sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui
 
HATUTAKI TENA KUSIKIA MBOWE SIO GAIDI......
Mbowe nae anaenda huko huko maana hii ilikua vita ya sabaya na mbowe....
 
wote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...

duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...

sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui
Umenuna?
 
Ngoja waka mfile sawasawa,alijifanya mjuaji sana
 
Sasa tusisikie mahakama haitendi haki kwa gaidi
Mahakama siyo vikao vya CCM wewe fala kama **** ushahidi usio na mashaka kwa mbowe basi mfungeni lakini siyo huo uzushi wenu na propaganda za kisiasa.
 
Tuna subiri Siro na genge lake waje kushtakiwa kwa kesi za mauaji. Nao waseme walikuwa wana tekeleza maagizo toka juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…