GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Dua la kuku, washitakiwa wenzake Mbowe ni kazi ya mfungwa, Sasa huoni kuwa kesi hii na mwenendo ni matokeo ya mfungwa.wote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...
duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...
sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui
Hapana mkuu! Yaani hapo umenitusi kabisa.Wewe lazima ccm
Usiwe kama mjinga. Kinachothibitisha mahakama kutoa hukumu ni ushahidi uliojitosheleza siasa siasa za kijinga za CCMKwa hiyo kwa sabaya mahakama inatenda haki ila kwa mbowe anaonewa?
Mbowe hawataweza kwani hata Hakimu kakosa pa kupitia na Hofu yao kubwa ni ulipaji kisasi kwa uonevu mkubwa waliotendewa na mahita na kingaiMaandalizi ya kumfunga Mbowe hakika hamtafanikiwa!!!!
Wanataka kubalance Mbowe atapigwa miaka 5+ ili wamtoe baada ya uchaguzi 2025 na ndio katiba mpya itaandikwa..
Sabaya ana makosa lakini mh hii kesi yake imehukumiwa kisiasa Sana kwa sababu ya kesi ya Mbowe..
Unataka kusema mkuu ufaransa hamna wanao hukumia kwa makosa ya maximum robbery? Au cijakuelewaCivilisation ya Ufaransa huwezi lingansha na ya kwetu. Frenchmen are highly civilized, I dare say! wana matatizo yao lkn si kwa haki za binadamu, tena basic haki za binadamu wanaziheshimu sana.
Wakimfunga mbowe huku mtaani kinanuka.Maandalizi ya kumfunga Mbowe hakika hamtafanikiwa!!!!
Wanataka kubalance Mbowe atapigwa miaka 5+ ili wamtoe baada ya uchaguzi 2025 na ndio katiba mpya itaandikwa..
Sabaya ana makosa lakini mh hii kesi yake imehukumiwa kisiasa Sana kwa sababu ya kesi ya Mbowe..
You are very right, perfectly right, lakini kwa nchi gani? Tanzania? ya Samia? Huyu mama hana aibu..... Umesikia matamshi ya CJ juzi? Kuwa lazima mahakama ziangalie mwelekeo wa serikali! I need your comment on this!Sio rahisi kihivyo.
Kesi ya Sabaya in pure internal affair.
Ya Mbowe ina taswira ya kimataifa.
La pili, angalia muktadha na hali halisi ya Kesi zenyewe. Kuna Kesi halali na ya kubumba kisiasa zaidi.
Zote zikienda kama inavyotarajiwa, mama atahesabika ndani na nje ya nchi.
Asijali tutamuoa, hatutakubali pesa yake ipotee bureKabla hajataja adhabu, Hakimu amewapa washtakiwa nafasi kujitetea kwa mara ya mwisho, ambapo Sabaya ameomba apunguziwe adhabu kwa sababu anaye mchumba ambaye ameshamtolea mahari na hivyo akihukumiwa miaka mingi atashindwa kumuoa.
Waliokuwa wanavuliwa nguo na kuambia wakae na kusimama kwenye misumari ..wote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...
duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...
sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui
Hata wewe leo unaishiwa nguvu kushabikia maovu, kweli Dunia hii ni ya Mola.Mahakama ziko huru sana
wameamua kumnawaHili ndio lilikuwa kosa la kiufundi alikiuka kiapo.
Mkuu kwa ule ushahidi Mbowe akifungwa itakuwa kituko,but tusubiri tuone!Ilionekana wazi lazima afungwe ili ze Mbowe akichapwa miaka ionekane is fair !