Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Hukumu imekaa kipambe tu. Hakimu anatafuta uteuzi.
 
Sabaya mwenyewe kakiri kutenda kosa kwa kua aliagizwa chini ya maelekezo ya Bwana yule. Alidai pia Mipango anajua. Kwaiyo Ni wazi jamaa ali-admit.
 
Labda yule mungu wake wa chato aliempa kiburi ndo yupo kazini
 
Hatuwezi kuitumia ile kauli ya Makonda kwa Lulu Dady is coming

Tuitumie kwa Sir-buyer
 
Sabaya ana hukumiwa kifungo cha miaka 15 jela. Ndivyo penal code inavyotaka kulingana na mashtaka aliyo shtakiwa nayo na ameshindwa kudhibitisha kuwa hakutenda hivyo.
Hakuna option ya fine wala mbadala mwingine labda akate rufaa ya mapitio upya.
Ni 30 mtaalam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…