Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo kakaukiona hukumu ya kesi inapelekwa masaa ya jioni sana, jua kifuatacho ni mvua ya mawe.
Aiseeee !!Yeremia 17: 5-6
5 BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake. Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
6 Maana atakuwa kama fukara nyikani,
Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.
Hukumu imekaa kipambe tu. Hakimu anatafuta uteuzi.Baaada ya miezi/miaka kadhaa, utashangaa Mahakama kuu/ya rufaa imetengua hukumu yake kwa sababu ya bla bla gani sijui za hapa na pale zilizo kiukwa!
Dah! Ila Dogo naye alijisahau sana. Na hapo bado ana kesi nyingine ya uhujumu uchumi! Idugunde wapi ulipo mkuu! Pole sana. Hatimaye yametimia.
Hizo kesi zenyewe za sabaya na mbowe ni kesi za kubumba bumba tu! Ngoja tuone kwa mbowe!Watu inabidi wajiandae kisaikolojia maana yajayo hayafurahishi .....
Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.Inaonekana Sabaya alimuonyesha dharau mama , maana Makonda yupo tu anadunda
Yaani unafikiri hapo kuna nini? Mihemko tu ukumbuke hata hao mahakimu ni binadamu!Hukumu imekaa kipambe tu. Hakimu anatafuta uteuzi.
Mfa maji haishi kutapatapa.Hivi kuwa na mchumba uliyemlipia mahari ndio utetezi wa Ujambazi wake?[emoji28],yeye wakati anabaka wanawake wa watu huo muda si asingetumia kumuoa huyo mchumba?
Makonda hana lakusema katulia [emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana Sabaya alimuonyesha dharau mama , maana Makonda yupo tu anadunda
hahahahaha
Labda yule mungu wake wa chato aliempa kiburi ndo yupo kaziniAliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Hatuwezi kuitumia ile kauli ya Makonda kwa Lulu Dady is comingAliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Ni 30 mtaalam.Sabaya ana hukumiwa kifungo cha miaka 15 jela. Ndivyo penal code inavyotaka kulingana na mashtaka aliyo shtakiwa nayo na ameshindwa kudhibitisha kuwa hakutenda hivyo.
Hakuna option ya fine wala mbadala mwingine labda akate rufaa ya mapitio upya.