Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Angeliyajua mapema angetoroka nchi maana alikua na madolali ya kutosha.
Kama lema eeh, kamwachia msala Mbowe!!? Yeye yupo Canada sasa!

Ila pia nilijiuliza mwanaume kulia machozi vile msibani........?!!.

Ole, Mh!? Umehukumiwa ukiwa ccm!!? Uli cross ❌ line brother.

Pole old comrade.

Ndo imeisha hivo.

Tunasafisha taifa
at an expense of bully trusted guys.

uvyama ni equivalent to racism.

R.un acceptable
 
Hahaaaaa!!!chali kifo cha Mende, nyang'any'any'a!!!sasa kazi tuna muachia BABA NYAMPALA huko, tuna mtakia kila raheli, ndio mjifunze kuishi kwa kumtegemea mfadhiri!!kuna muda mfadhiri anaondoka
 
Mimi ninaowaonea huruma ni...matakataka na machozi ya samaki.

Ezekiel Mbaga
Crimea
johnthebaptist
Idugunde
Mudawote
Kinuju
Jumbe Brown
Naipendatz
GENTAMYCINE


Na orodha itaendelea...wako wengi ilitakiwa wafukuliwe na kuunganishwa kwenye hii kesi...
Nafurahi sana mtu akini-tag inaonyesha ni kiasi gani ujumbe wangu unavowafikia huko kunako.
Tuna mpango wa kumpa miaka ya mvua bwana wenu mbowe na mnabahati wale mume zenu wengine wamekimbia nchi wakamuacha boya ambaye sasa hv anauona moto huko huku vibinti vikibishana huko Twita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…