Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

..waliomtumia na kumtuma Sabaya walaaniwe.
Ulaaniwe wewe. Mtatapika hela mlizokuwa mnachezea nae. Kijitu kilijifanya mungu mtu kinawachezea wengine kitakavyo. Kenge kabisa. Mtu na akili yako utatumiwaje? Angehukumiwa kunyongwa huyu mbwa
 
Sabaya anatolewa kwa rufaa, hapo serikali imeshacheza karata zake. Kwenye rufaa mahakama itatengua hukumu hio. Huyu alitakiwa apigwe risasi mbele ya halaiki pale askari monument mchana kweupe. Iwe fundisho kwa wengine kama kina Paulo.

Subirini muone. Hii nchi ni ya kishenzi sana kwenye swala la haki.
 
Wenzake wanasheherekea kwa kula NYAMA NA GAMBE yeye anang'ela conspiracies tu......

JELA HAINA MWENYEWE....
 
Ndiyo maana tumemfanya Sabaya mfungwa awe shahidi...Lema usihofu Mumgu wa Ibrahim na Yakobo, Isaka na Elia bado yupo hai na anaishi nasi hajatuacha kabisa.

Wewe ni nabii...najua " umesema Wanaweza kufanyia hila" hawawezi...hawawezi dunia itawacheka na itawageuka....na watanzania watasema sasaaa basi.

CCM haina nguvu tena ya wananchi .CCM kwa sasa ni dola.. hamna chama mule.

Huwa nikifika hapa nakumbukanule wimbo wa utotoni unaimbwa..!!

Watoto wangu eeeeeè......eeeee
Mimi mama yenuuùuu.......eèeèee

Hao ndoyo CCM ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…