Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sabaya ana mipesa akitoka anaoa kitu kipyaWahuni watambandua mpaka sabaya anatoka atamkuta na watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabaya ana mipesa akitoka anaoa kitu kipyaWahuni watambandua mpaka sabaya anatoka atamkuta na watoto
Sabaya alikuwa mpuuzi sana.Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Ulaaniwe wewe. Mtatapika hela mlizokuwa mnachezea nae. Kijitu kilijifanya mungu mtu kinawachezea wengine kitakavyo. Kenge kabisa. Mtu na akili yako utatumiwaje? Angehukumiwa kunyongwa huyu mbwa..waliomtumia na kumtuma Sabaya walaaniwe.
Mbowe alipora wapi ?
Wewe si ka baby asee unawezaje kujua mambo ya watu wakubwa kama haya?Maybe !Ila SIO kama unavyo nichukulia
Sina imani na Mama katika kuwatendea haki wapinzani.Sabaya anatolewa kwa rufaa, hapo serikali imeshacheza karata zake. Kwenye rufaa mahakama itatengua hukumu hio.
Subirini muone. Hii nchi ni ya kishenzi sana kwenye swala la haki.
Umeamua kupiga ramli eee?!!Sabaya anatolewa kwa rufaa, hapo serikali imeshacheza karata zake. Kwenye rufaa mahakama itatengua hukumu hio.
Subirini muone. Hii nchi ni ya kishenzi sana kwenye swala la haki.
Utajua wewe kama ni ramli au kokoro. Ila serikali inafanya watu hawana akili, kwenye rufaa utasikia hukumu hio ina mapungufu na mahakama imeamua kuitengua.Umeamua kupiga ramli eee?!!
Hachomoki, kwenye rufaa wale wenzake labda wanaweza kutoka au kupunguziwa adhabu.Sabaya anatolewa kwa rufaa, hapo serikali imeshacheza karata zake. Kwenye rufaa mahakama itatengua hukumu hio.
Subirini muone. Hii nchi ni ya kishenzi sana kwenye swala la haki.
Hizo pesa zimemsaidiaje kuepuka mvua ya miaka 30?Sabaya ana mipesa akitoka anaoa kitu kipya
Gaidi ale 60 kabisa.