jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Kwa sheria ya mamako! Kenge wahed.Kwa sheria gani bwashee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sheria ya mamako! Kenge wahed.Kwa sheria gani bwashee?!
List ya wahalifu ni ndefuTABASAMU LA OLE SEBAYA LINA SIRI NZITO.
Anaandika, Robert Heriel
Ni kweli Ole Sebaya ni miongoni mwa Viongozi waliokuwa wakifanya kazi Kwa namna ya kipumbavu Sana, Hakuwa pekeake, walikuwa wa Aina yake kadha wa kadha, hao walijifanya miungu watu. Maneno yaliyowatoka midomoni yalikuwa kama wendawazimu. Sitaki kuwataja Ila wanajifahamu wenyewe na wengi walipata nafasi ya kusoma baadhi ya maandiko yangu. Wapo waliojirekebisha lakini wapo waliokaidi. Hata hivyo ndivyo maisha yatakavyo hivyo, wengine waangamie na wengine waokoke.
Mbali na udhaifu wa Ole Sebaya katika misukosuko yake tangu imkute lakini Jambo moja ninaweza kumsifu; nalo ni TABASAMU.
Ole Sebaya pamoja na uhuni wako ambao wengine tuliutambua Kwa ishara za lugha uongeapo kipindi ukiwa Mkuu wa wilaya, siwezi kuwa Mnafiki nikanyamaza kukunyima sifa hii, TABASAMU hata kwenye nyakati ngumu.
TABASAMU la OLE Sebaya linanifundisha mambo kadhaa, na linanifanya nimsifu Kwa ushujaa huo. Unajua kutabasamu wakati WA taabu sio mchezo.
Kila nilipomuona Ole Sebaya akishuka kwenye karandinga la mahabusu alishuka akiwa anatabasamu.
Jambo hili niliwahi fundishwa zamani Sana nikiwa mtoto mdogo kuwa;
Mbinu moja wapo ya kukabiliana na nyakati ngumu ni KUTABASAMU.
Mbinu hii nimeishuhudia mara mbili, na Ole Sebaya anakuwa mtu wa tatu kumuona akiwa anatabasamu hata akiwa katika Mazingira magumu.
Sina Shaka kuwa Ole Sebaya ni Mhalifu, katika hilo sina Shaka kwani alishajuonyesha tangu alipopewa Cheo cha ukuu wa wilaya. Ingawaje wapo wengine ambao bila Shaka muda huu wanaomba miungu yao kuwa upepo wa Sebaya usiwageukia na wao.
TABASAMU la Sebaya linaweza kuwa na maana Kati ya zifuatazo;
1. Matumaini.
Ole Sebaya anatabasamu huenda anamaana kuwa anayopitia ni majaribu tuu, yote yatapita
2. Majuto
Ole Sebaya anatabasamu Kama mtu anayejuta, anayejidharau kuwa alikuwa mjinga na Mpumbavu, n.k
3. HAKUWA PEKEAKE.
Ole Sebaya huenda anatabasamu Kwa sababu anashangaa kageuka Mbuzi WA kafara, waliofanya Kama yeye huenda walikuwa wengi lakini anaona yeye ndiye kaangukiwa na kitu kizito.
4. MAPENZI YA MCHUMBA WAKE YAMEMPONZA.
TABASAMU la OLE linasema mambo mengi.
Yale ya ngoswe kipenzi cha uzembe yanaweza kuwa yamemkuta Bwana Sebaya.
Huenda zile hela za unyang'anyi alikuwa anazipeleka Kwa mchumba wake huyo ambaye ndiye aliiomba mahakama imfikirie kwani anamchumba amemtolea mahari.
Sebaya huenda anatabasamu Kwa kujicheka kuona mchumba wake kasababisha kajiingiza katika matatizo.
Huenda anatabasamu kila akikumbuka akiombwa pesa ndefu na mchumba wake, huku Mshahara wa ukuu wa wilaya akiona ni mdogo. Hayo yote ni assumption tuu.
Ila Siri za TABASAMU la OLE Sebaya anazijua yeye mwenyewe.
Ole Sebaya mbali na kuwa sikupendezwa na tabia zako mbofu na nilitarajia matokeo haya kwako lakini nisiwe muongo kuwa nilikuona jasiri kila nilipoona unatabasamu.
Nitaenda kumtembelea Ole Sebaya kisha nitamuuliza TABASAMU lake lilikuwa na maana gani?
Ipendeze Ukate Rufaa alafu ujipange kwenye kujitetea bhana. Masuala ya kitoto ya kuleta Uchumba kwenye ishu nzito zinazokukabili uachane nazo.
Mimi nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Vipi nikikuuliza kuhusu "TABASAMU" unaweza ukaielezea kisiasa?Kwani Siasa ni nini?
Nyie si ndio mlikuwa.mnampa kichwa Makonda na Sabaya. Leo akili zimekurudi??Namwonea huruma sana huyu bwamdogo wanampoteza kihuni tu wakati wao ndio walikua wanamtumia.
Zamani sana hata pia Ben saa8 tangu anajiunga hapa,akawa lopolopo sana kila kitu anakijua yeye.
Niliwai kumshtua tu kama mdogo wangu "e bana taratibu"siasa za Bongo nenda nazo mdogo mdogo.
Ndo kwaanza akawa bichwa hilo.
Alikopotelea hamna anayejua mpk leo.
kylin je?Tanzania hakuna msichana wa kumtuma mkuu WA wilaya kupora million 100..
Usimhusishe dada wa watu na uhalifu
May be mungu wa chatoAliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Pesa za matajiri wa kilimanjaro ziliishia hapa😆😆
Nyuki watatapakaa nchi nzima😆😆😆Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Mchuma janga hula na wa kwao. Nadhani hili ni janga la wana arusha wote.Sisi Waarusha wenzake jamaa ametu let down sana ila ndio hivyo tena kila mtu huvuna alichopanda.
Manka umekalia ndizi ya mbege hapo usseri!Kwa sheria ya mamako! Kenge wahed.
makonda mwenyew anafaham hilo lkn?Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Nasikia mahakama imeamuru aendelee kuhifadhiwa kwa miaka 30 zaidi ili kumlinda na hayo mashambulizi.Watu kwa kujifariji hamjambo, hamna kesi hapo, alihifadhiwa kwa usalama wake mwenyewe dhidi ya shambulio la kigaidi…
Hafungwi mtu hapo kwa ufala wao unaleta utabiri wa kijinga pasipo kutambua kuwa mbowe anaonewa hana hatia yeyoteNafurahi sana mtu akini-tag inaonyesha ni kiasi gani ujumbe wangu unavowafikia huko kunako.
Tuna mpango wa kumpa miaka ya mvua bwana wenu mbowe na mnabahati wale mume zenu wengine wamekimbia nchi wakamuacha boya ambaye sasa hv anauona moto huko huku vibinti vikibishana huko Twita
Ngoja tumpige ya mvua huyo mume wenu ndo mtajua hamjuiHivi kuna vilaza wanawaza kuwa mbowe atafungwa?
Msamaha wa raisi hauwahusu wenye unyanganyi wa kutumia silahaMaandalizi ya kumfunga Mbowe halafu atakuja kuachiwa kwa msamaha wa rais
Wanataka kubalance Mbowe atapigwa miaka 5+ ili wamtoe baada ya uchaguzi 2025 na ndio katiba mpya itaandikwa..
Sabaya ana makosa lakini mh hii kesi yake imehukumiwa kisiasa Sana kwa sababu ya kesi ya Mbowe.
Hii Nchi inahitaji katiba huu upuuzi unaendelea. Sawa sabaya anafungwa lakini je wale aliokuwa alifanya nao uhuni ule wako wapi? Wakina Makonda na watu walioiba uchaguzi 2020 ?
Nimeliwaza hili siku nyingiInaonekana Sabaya alimuonyesha dharau mama , maana Makonda yupo tu anadunda