CHARLES2016
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 376
- 435
Hahaha wewe ndo umekuwa hakimu sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Tofauti kubwa ni kwamba Mbowe hana hatia hakuna ushahidi wa kumfunga.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha wewe ndo umekuwa hakimu sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Tofauti kubwa ni kwamba Mbowe hana hatia hakuna ushahidi wa kumfunga.
MmmnhUmesema kweli.
Mshikaji hapo sijui ilikuwaje
Nan haoList ya wahalifu ni ndefu
1. Gambu
2. Hapo
3. Ogundi
4. Muroti
5.etc
Hahaha wewe ndo umekuwa hakimu sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Brother hayo ni maoni yako tu, hata kwa Sabaya Kuna watu walisema ushahidi hautoshi, mahakama ndo yenye maamuzi ya mwisho.Si swala la kuwa hakimu. Gaidi unamnunua chakula na kukaa naye meza moja kula? [emoji15]
Brother hayo ni maoni yako tu, hata kwa Sabaya Kuna watu walisema ushahidi hautoshi, mahakama ndo yenye maamuzi ya mwisho.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Miaka 30 kwa jela ni sawa na miaka 15!. Siku huwa zina hesabiwa mchana na usiku so jamaaa atatokana 48 hivi sio mbaya akamkuta mchumba wake then akaoaHukumu ya kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya inasomwa muda huu katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Akisoma maelezo ya awali Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo amesema kati ya mashahidi 11 wa upande wa mashtaka waliotoa ushahidi wao, ambapo ushahidi wa watu 9 umeonekana una mashiko na ushahidi wa watu wawili umetupwa.
Hakimu Amworo amesema kuwa mahakama imejiridhisha kuwa siku ya tukio February 9 mwaka 2021 washtakiwa wote watatu walikua dukani kwa Saad na wote walishiriki kufanya unyang'anyi wa kutumia silaha, kabla ya kumpiga Saad na kumsabanishia majeraha, wakitaka wapewe TZS 100M au mfanyabiashara huyo apewe kesi ya uhujumu uchumi.
Hakimu anasema kwa mujibu wa kifungu cha 201 cha sheria ya makosa ya adhabu, mtu yeyote anayepatikana na hatia ya kutumia silaha kunyang'anya mali ya mtu mwingine, adhabu yake ni kifungo cha miaka 30 jela pamoja na viboko 12 au miaka 30 bila viboko.
Baada ya kusema hayo Sabaya alianguka na kudaiwa kuzimia, hali iliyofanya Hakimu kuahirisha kusoma hukumu hiyo kwa dakika 5. Baadae Sabaya alizinduka na hukumu ikaendelea kusomwa.
Kabla hajataja adhabu, Hakimu amewapa washtakiwa nafasi kujitetea kwa mara ya mwisho, ambapo Sabaya ameomba apunguziwe adhabu kwa sababu anaye mchumba ambaye ameshamtolea mahari na hivyo akihukumiwa miaka mingi atashindwa kumuoa.
Hukumu inaendelea kusomwa. Letz keep waiting.!View attachment 1975366
Tabasamu wakati alizimiaFunzo tulilolipata ni kutabasamu hata katika nyakati ngumu.
Uzi huu inahusu zaidi TABASAMU la OLE Sebaya, hayo mengine sio muda wake
Anna Mgwira aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.Mama Anna yupi?
Ndio hapo sasaTabasamu wakati alizimia
Gaidi yupi? Mahakama itatenda haki kwa kumwachia huru mbowe ambaye hana hatiaMahakama itatenda haki pia kwa gaidi!
Jiandae kula baridi maisha yako yote
Demu wake atachukuliwa na ndugu wa Moses lilenje ambaye kapotezwa na mateso ya mahita kwa Amri za Sabaya kipindi akiwa DCAnasema Hakimu ampunguzie adhabu kwa sababu ana mchumba ambaye anahofia ataanza/ashaanza probably kuliwa na wandewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama ndiyo itaamua, au wewe ndiyo Jaji wa kesi?Sabaya mbowe hakuteswa jela? Walinzi wa Sabaya walikaa na pingu saa 24 kila siku kama walinzi wa mbowe?
Mlinzi wa mbowe atamuo kupoza machungu ya uonevu wake wakati akiwa DCAje nimuoe Mimi awe mke wa pili😄😄😄😄😄😄
Kwani wewe ndiyo jaji? Mahakama itamuachia huru mbowe bila mashariti baada ya kugundulika ushetani wenu wote dhidi yakeMahakama ndiyo itaamua, au wewe ndiyo Jaji wa kesi?
Wewe ndiyo gaidi wa kuwabambikia kesi wapinzani utakula mvua za Albadiri unakufa kabla ya hukumu ya mbowe kuachiwa huruDaaaah ya gaidi, huyo lazima ale mvua gaidi mkubwa