Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Eti jambazi la kutumia silaha ndio shahidi dhidi ya Mbowe.

Nimeamini Mwamba sio gaidi.
 
kilichonifurahisha Jambazi Ole Sabaya amekiri kuwa yote aliyokuwa anafanya ni maagizo toka Juu.
Miaka 30 ni sawa na miaka 20 gerezani.
Kwahiyo atatumikia kifungo cha miaka 20 tu.
 
Miaka 30 kwa jela ni sawa na miaka 15!. Siku huwa zina hesabiwa mchana na usiku so jamaaa atatokana 48 hivi sio mbaya akamkuta mchumba wake then akaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…