Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Hapo ndo ujue huyu bwana kuna kundi la watu lilimpania kumhukumu eti aliiba milioni 750 kwa nini huyo jamaa hakwenda mahakamani kipindi chose mpaka sabaya alipotenguliwa?
 
Kweli unaifahamu
 
Yeremia 17:5
Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.
 
Best sabaya hajawahi kushitakiwa kwa mauaji! Hayo mashitaka ya kutunga hayana maana ipo siku atakuwa huru!
 
Yeremia 17:5
Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.
 
Jipige kifuani alafu useme "kwahakika mm n mjinga"
 
CCM wasijaribu kufanya huo utoto, matendo ya Sabaya yalikuwa wazi kwa dunia kila mwenye macho alijionea, zaidi akaenda mbali kwa kujigeuza mungu mtu akijua ana ulinzi wa mwanadamu utamtosha, kumbe yule mwanadamu ni mavumbi, akawadhihaki wote waliokuwa wakimpa ushauri aache mambo yake maovu akawaona wajinga.

Kusema wata-balance story kwa kumfunga Mbowe ambae kila mtu anajua kesi yake ni ya kutengeneza, politically motivated ili kumfunga mdomo yeye na wenzake wasidai Katiba Mpya ni kujidanganya, na wakifanya huu mchezo ndio watazidi kuthibitisha mahakama zetu haziko huru na tabia zao za kuwabadilisha majaji wanaosikiliza hiyo kesi kwa kuwapa teuzi huwa ni mchezo.
 
Miaka 30 kwa jela ni sawa na miaka 15!. Siku huwa zina hesabiwa mchana na usiku so jamaaa atatokana 48 hivi sio mbaya akamkuta mchumba wake then akaoa
Kwahiyo kwa miaka 15 demu atakuwa hajagegedwa?
 
Wazazi wako wamepata hasara
 
Silence is golden when you have nothing to say.
Alisikika mhenga mmoja akisema pale mahakamani.
 
Unajua wewe! Usiseme kila mtu anajua kuondolee uchagadema wako hapa! Subiri mahakama wewe pimbi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…