NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Hayo ni maandalizi ya kumkaanga Mbowe!!!Ili kumpa nafasi Hangaya Ajitanue kisiasa hadi 2025!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo ujue huyu bwana kuna kundi la watu lilimpania kumhukumu eti aliiba milioni 750 kwa nini huyo jamaa hakwenda mahakamani kipindi chose mpaka sabaya alipotenguliwa?Ila sheria kwa kosa Kama la sabaya imeweka adhabu Kali Sana. Màana yangu ni kwamba Hakim kadhibisha Sabaya alikuwa na bunduki, sambamba na wenzie, lakin hapo Hapa Hakim kasema hzo bunduki hazikutumika, Hapa naona bas adhabu ingekupunguzwa kwanye miaka 30 angalau ata 15.
Na hiki kipengele cha mtu kujitetea naona Kama huwa ni cha kinafiki tu, mala chache Sana mahakama kukisikiliza.
Shukrani, Mimi sio niliyesema mfuge jambazi kwahio matusi hayasaidii. Huyo unayemtetea ndio Yuko na nyapala muda huu, kwahio tukana unavyowezaKafilwe uko
Hebu rudia tenaWatu kwa kujifariji hamjambo, hamna kesi hapo, alihifadhiwa kwa usalama wake mwenyewe dhidi ya shambulio la kigaidi…
Silajha yenyewe haikutumika yaani hata huyo hakimu mihemko ndo imemwendesha!Kosa la kutumia unyanganyi wa silaha ufungwe miaka 30 are you ok??
Kweli unaifahamuAtapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.
Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.
hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..
Hukumu yake naifahamu.
Yes. KatoboaBado anakesi nyingine hivyo hawezi kuachiwa huru, japo hii kesi atatoboa mapema sn.
Best sabaya hajawahi kushitakiwa kwa mauaji! Hayo mashitaka ya kutunga hayana maana ipo siku atakuwa huru!"TABASAMU", imekuwa "TABASAMU", robo tatu ya andiko zima, 'what the heck is that'!
Hapa kuna mtu aliyekuwa tayari kutoa roho za watu, leo hii tunahadithiwa juu ya tabasamu lake? Hakuna habari ya kumzungumzia huyu mtu na wengine wa aina yake ambao tunapaswa kuwaepuka kila iwezekanavyo kuweka watu wa aina hiyo kwenye uongozi wa nchi?
Hakuna mafunzo yoyote tunayoweza kuyafafanua tukitumia mifano ya hawa watu ili jamii ielewe hatari zinazoambatana na kutokuwa waangalifu kwenye kutafuta viongozi wa nchi yetu?
Is 34 years old a young?Utoto ulikuwa unamsumbua, they were and are still young to hold such positions. Kama ingelikuwa siyo kuwatesa/kuwa na kuwaibia watu, I would pardon him due to his young age!
Jipige kifuani alafu useme "kwahakika mm n mjinga"Akufungwa wengine tutasikia vibaya, lakini kazi ameifanya. Safisha majambazi na mbegu yote iliyopandwa na Lema, wamepotea wote waliobaki wachache sana wamekimbilia Kenya. Tunafahamu kitu gani kimewapata lakini wote waliokuwa wakinyanganya askari silaha tunafahamu wameenda wapi.
Matatizo sugu ya kijamii kwisha. Dhulma za ardhi zilizo kithiri kwisha. Na karibu wote wahanga wamepata haki zao.
Na waliokuwa wakijifanya kuongoza magenge ya uharamia wamekuwa exposed.
Amani imerudi Machame/Hai. Sabaya OYEEEEEE.
Eeh , aiseeDah....wahenga walisema kitambo sana...kesi ya Sabaya ilikuwa sinema tu..na wengi iliwalevya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo kwa miaka 15 demu atakuwa hajagegedwa?Miaka 30 kwa jela ni sawa na miaka 15!. Siku huwa zina hesabiwa mchana na usiku so jamaaa atatokana 48 hivi sio mbaya akamkuta mchumba wake then akaoa
Wazazi wako wamepata hasaraYote kwa yote, huo ndio ukweli mchungu, kwa upande mmoja gaidi anayetuhumiwa kutaka kuua viongozi akishirikiana na Makomando akionekana Ana hatia ndio tutamuachia maana gaidi atakuwa sehemu salama zaidi mbali na viongozi, pia upande mwingine wa shilingi akionekana hana hatia tutamuachia pia maana usalama wake utakuwa umehakikishiwa, its just the matter of clarifying all possible doubts before releasing the baby…
Kumbuka na mashada kwenye tomb of baby’s dad tumeweka juzi tu, picha la kihindi flani hivi…
Dah....bado ni sinema tu 🤣🤣🤣🤣🤣Eeh , aisee
Silence is golden when you have nothing to say.dah huo utetezi umetoka kweli kwa Sabaya au ni story tu za vijiweni?... kama kweli ametoa utetezi huo basi naweza sema jamaa ni full kilaza aisee na kumbe nje ya mamlaka hana ujanja wowote....fuckin kabisa aisee..
Unapewa nafasi ya kujitetea unaongea upuuzi huo aisee, Elimu yetu inahitaji complete overhaul aisee huyu ni kijana msomi na alikuwa kiongozi mkubwa ngazi ya wilaya aisee anaongea ujinga kama huu kama utetezi wake..bora angekaa kimya tu aiseee..
Unajua wewe! Usiseme kila mtu anajua kuondolee uchagadema wako hapa! Subiri mahakama wewe pimbi!CCM wasijaribu kufanya huo utoto, matendo ya Sabaya yalikuwa wazi kwa dunia kila mwenye macho alijionea, zaidi akaenda mbali kwa kujigeuza mungu mtu akijua ana ulinzi wa mwanadamu utamtosha, kumbe yule mwanadamu ni mavumbi, akawadhihaki wote waliokuwa wakimpa ushauri aache mambo yake maovu akawaona wajinga.
Kusema wata-balance story kwa kumfunga Mbowe ambae kila mtu anajua kesi yake ni ya kutengeneza, politically motivated ili kumfunga mdomo yeye na wenzake wasidai Katiba Mpya ni kujidanganya, na wakifanya huu mchezo ndio watazidi kuthibitisha mahakama zetu haziko huru na tabia zao za kuwabadilisha majaji wanaosikiliza hiyo kesi kwa kuwapa teuzi huwa ni mchezo.
We kiaz kweli, yan ukaibie watu alafu sheria ikuache? Na CCTV footage zipoMiaka 30 jela? JPM huko alipo atakuwa anaumia sana vijana wake kutendewa hivi