Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Ruge hakuhukumiwa bali kesi ilifutwa....

Si kwamba kesi ilisikilizwa hadi mwisho na hukumu ikatolewa kwamba hana hatia bali DPP hakutaka kuendelea na kesi! That's different scenario
Thanks ntaitafuta niisome
 
Una akili sawasawa? Mbowe alikula nyama za kigaidi hivyo anashtakiwa kwa huo ugaidi wake na yy ni kifungo cha Maisha. MAHAKAMA ZETU SASA ZIKO HURU ZAIDI.
Ninazo ndio maanaa nakwambia hivi mbowe hajakula njama na wala sio gaidi kama umemezeshwa huwo upumbavu hapo lumumba pole sana.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani hujui mihemko! Sibishani, nikisema nimesema, kama hutaki jinyonge, mbona simple tu. I don't argue with fools
 
Sir Baya hajatendewa haki mvua alizopigwa kidogo kabsa kwa umri wake...

Miaka 34+30Γ·2=atatoka akiwa na miaka 49 umri ambao akirudi uraiani anaweza kuwa Jambazi mkuu kuliko ht yule wa kwenye movie ya Van dame..

Hakimu kala rushwa nilipendekeza anyongwe km Okwonkwo na demu wake nipewe Mimi huku akimuona ...
Shuain
 
Dini zinachezewa sana
 
Lema amekuwa mtabiri siku hizi .

Ni kosa kuzungumzia kesi iliyo mahakamani , ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Viongozi na mawakili wa mbowe hawajalalamika .
Ni bora lema akanyamaza wakati mungine kama hana jambo la maana la kuongea.
Ni home boy Lakini huwa namshangaa wakati mungine

Binafsi nimeona jaji anaendesha Vizuri kesi
 
Alie kwambia wanachukua 30/2 ni nani mkuu.
Huwa iko hivi wanachukua thelusi mbili ya kifungo chote yaani 2/3 soo hapo atakaa 20 years

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Jaji atakayemfunga Mbowe atakua mpuuzi wa mwisho na ndio mwisho was Tanzania kwenye international relation
Tayari huyo Jaji ameshapewa cheo katika mazingira ya kustaajabisha sana na yule Jaji Mkuu wa bi bi sii, na wakati mchakato wa kesi ukiendelea!

Na mbaya zaidi yule Jaji wa bi bi sii alitamka hadharani makosa feki ya mtuhumiwa, na kuiambia dunia ya kwamba watuhumiwa wenzake tayari walisha hukumiwa kitambo! Hivyo bado zamu ya Kamanda tu.

All in all, mpaka hapa tulipofikia, Katiba Mpya haikwepeki.
 
Yule aliye jiachia na kutoa maelezo ya uongo na ya kufikirika wakati anahojiwa na Kikeke, alipata wapi hayo mamlaka.

Hivi kuna asiyefahamu kweli kama hii kesi ni ya kupikwa!!
 
Acha tu ,hao wapuuzi wameumiza sana watu ,BASHITE inabidi na yeye akamatwe maana vitu alivyofanya ni zaidi ya alivyofanya SABAYA.
Walimuhakikishia Jiwe kuwa atatawala mpaka mauti yatakapomkuta (kama Rais wa China), na walishaanza hiyo kampeni, Wakajibiwa maombi yao na Muumba, ni kweli jiwe katawala hadi mauti yalipomkuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…