Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Tayari huyo Jaji ameshapewa cheo katika mazingira ya kustaajabisha sana na yule Jaji Mkuu wa bi bi sii, na wakati mchakato wa kesi ukiendelea!

Na mbaya zaidi yule Jaji wa bi bi sii alitamka hadharani makosa feki ya mtuhumiwa, na kuiambia dunia ya kwamba watuhumiwa wenzake tayari walisha hukumiwa kitambo! Hivyo bado zamu ya Kamanda tu.

All in all, mpaka hapa tulipofikia, Katiba Mpya haikwepeki.
This time hata uvccm watatusapoti
 
MNYIKA John John (@jjmnyika) Tweeted:
Sabaya kufungwa kwa ujambazi na unyang'anyi inapaswa kuwa sababu nyingine kwa DPP kufuta mashtaka ya @freemanmbowetz . Nilisema 31 Julai 2021 kuwa Sabaya alihusika kuwabambikizia kesi #makomandoo3 kumwondolea ulinzi #FreeMbowe ili kumdhuru. #MboweSioGaidi
 
Huyo Jaji atakayemfunga Mbowe atakua mpuuzi wa mwisho na ndio mwisho was Tanzania kwenye international relation
Eti mwisho wa Tz kwenye international relation, mnajijazaga uongo na ujinga.
Mbona yupo ndani kitambo na international relationship bado ipo
 
Inaonekana Sabaya alimuonyesha dharau mama , maana Makonda yupo tu anadunda
hapa ndipo wabongo mnakosea. kuichukulia poa mahakama. who is the so called 'mama' kwa mahakama? mahakama ni muhimili unaojitegemea, full stop. hata huyo 'mama' akijichanganya kuna siku atapanda kizimbani vizuri kabisa.

hajatokea tu wa kumshitaki makonda na hii ni kwa sababu maeneo aliyokuwa anafanya uhalifu wake yamejaa watu wazembe wasiojielewa, sifuti kauli. fikiria clouds alipovamia na mitutu ya bunduki ni na nani mwenye ubavu wa kupeleka shauri mahakamani wakati CMG nzima ni watu wa kujipendekeza kuanzia management mpaka wafanyakazi?

watu wa Kanda ya Kaskazini wametukumbusha tena kwa mara nyingine namna wanavyojielewa.
 
.
20211016_061914.jpg
 
Tunafahamu kabisa kuwa FREEMAN MBOWE LAZIMA atafungwa ili kuwatisha watu kuendelea kudai katiba MPYA.

Jaji kishapewa maelekezo akiwa anajua au hajui.Mbowe atakapokuwa ndani akitumikia kifungo chake iwe Cha maisha au kunyongwa Moto wa KATIBA MPYA uwe umechochewa.
 
Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .

Chanzo : Mwananchi

Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Nampa pole sana huyu binti maana nshafika Arusha nimtoe out [emoji41][emoji41]
IMG-20211015-WA0073.jpg
FB_IMG_1634315334810.jpg
 
Back
Top Bottom